正在加载视频...

视频加载失败

Na tulivyo uliza...

27,045 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Abiria wa SGR WAKASIRIKA, Baada ya kuambiwa waandike barua ili kupata REFUND ya SGR!! Swali ni kwamba? Walisema SGR inaendeshwa kama Ndege, Sasa, ikitokea Hitilafu kwenye ndege lazma kuwe na Refund... So, where are them? Msikilize dada akilalamika... Video kwa Comments👇🏾

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Tangu sa 16:30 watu haaajala, wamefungiwa humo ndani

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Hawa huku wengine wanalamika

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Mwingine huyu

Simba wa Yuda 的头像
Simba wa Yuda1 年前

Hiyo ndiyo inaitwa SGR MARKETING Sasa watu wataanza kuikwepa because of reliability. Sasa mnachukuaje hela na kaz hamfanyi 🚮

Another level 的头像
Another level1 年前

Mmmmh Tanzania yangu...

katekista 的头像
katekista1 年前

Hii case simple ila mnatumia nguvu nyiingiiii... Fanyeni kumtag yule wakili wa castle light muone kama hamjarudishiwa hela yenu kiulaini na refund juu Na statement ya kuombwa radhi

Haki Kay's 的头像
Haki Kay's1 年前

Dah very sad

mohamedi hamisi  的头像
mohamedi hamisi 1 年前

Tuishie kusema mkome kushibokea vitu vya watu mkapande abood na shabibi zenu, hilo muaachie matajiri wasio rudishiwa nauli,

출처 🌚 的头像
출처 🌚1 年前

Hii kitu inazingua sana 😁😁😁

Godfrey 的头像
Godfrey1 年前

Dada usiongee sana,wasiojulikana wakikubamba...

相关视频