Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

190,911 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)

9 Yorum

GreaterThinker💎 profil fotoğrafı
GreaterThinker💎3 yıl önce

Na huyu ni Mwanasheria lakini hajui kua Mikataba yoote ya Wachezaji hua iko fielled na inakua recorded TFF na CAF, kama wakimuachia kwa Ombi la Mama huon kama itajengwa Picha kua Serikali inaingilia Maswala ya Mpira Nchi Hii.. na Baadae Tunaeza Pata Adhabu kama Majiran zetu Kenya

Pierre profil fotoğrafı
Pierre3 yıl önce

WANAOPIGANIA SHERIA NA TARATIBU..... LEO HAWATAKI TENA SHERIA ZIFUATWE.....SHAME😭😭😭😭😭

Maphy profil fotoğrafı
Maphy3 yıl önce

Kwa mara ya kwanza @fatma_karume ameonesha harakati zake zote uwa sio za kutetea utaratibu, Haki na sheria bali Ni kutetea Kile chenye maslahi kwake, kwa Mara nyingine tena wameonesha uzanzibari wao wazi kabisa, kwa Mara ya kwanza ameonesha wazi rais anaweza ingilia mahakama n.k

B'bojick SÃŘŶÃ profil fotoğrafı
B'bojick SÃŘŶÃ3 yıl önce

Nadhani rais @SuluhuSamia angeweza kutumia namna nyingine ya ku adress swala la Feysal Salum badala ya kutumia open platform kama hii ya dinner. Swala la Faysal ni la kisheria na tuna tamani saana sana rais wetu awe mfano bora wa utii wa sheria na utawala wa sheria. Kwa kilichofanyika jana hili swala linaleta intimidation kwa uongozi wa @yangasc1935, kukosekana kwa uhuru ktk utekelezaji wa shughuli za soka, kuwajengea kiburi wachezaji, kuleta hisia za Uzanzibari na Utanganyika na kubwa zaidi ni serikali kuingilia maswala ya soka kinyume na kanuni za FIFA.

Dr. Sisimizi profil fotoğrafı
Dr. Sisimizi3 yıl önce

Sasa mrudishe michango

GENERAL 👮 profil fotoğrafı
GENERAL 👮3 yıl önce

Leo ndio nimefungua kwanini mlikua mnalia kwenye interview mnahitaji huruma ya Mh Raisi na sio kufuata Sheria🚮

CumBaYa profil fotoğrafı
CumBaYa3 yıl önce

Must be nice that now we are all enjoying, applauding and acknowledging ‘presidential’ powers.😃

Yanga_mtetezii profil fotoğrafı
Yanga_mtetezii3 yıl önce

Kama ambavyo mama amesema ombi letu la kuongezewa ardhi pale jangwan, bas majibu yale yale ndio yatafanyiwa kazi kwenye ombi la mama si amesema tuna haraka ya kushangilia mpaka akaangalie ipo kwenye mipango gan bas na nyie machawa tegemeen na sis hil suala la fei sheria itasimama

yusuph_esq profil fotoğrafı
yusuph_esq3 yıl önce

So mtarud mezan kuzungumza na Yanga and choose between zile option 3 walizozitoa right?? sasa michango ya CAS itakuaje? Why mlipoteza muda wote ule while you had the easiest way to end this kama alivyoshauri Rais? eniwei YAMALIZENI

Benzer Videolar