
fatma karume aka Shangazi
@fatma_karume • 1,197,330 subscribers
Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
Shorts
Videos

Kwa mnaosema huu si udhalilishaji ni kautani tu nina swali: Mako angekuwa KE mwenye umri wa Mako na Zuwena angekuwa ME kijana mzuri na hao MAFISI wanaocheka kama hawana akili timamu wangekuwa KE, mgesema hii ni KAUTANI, au mgesema “hichi kiAJUZA na wenzake hawana adabu?” Upuuzi!
fatma karume aka Shangazi122,334 просмотров • 1 год назад

Nimempenda sana huyu mama. Ni SHUJAA. Anadai HAKI yake ya KUHAKIKI kipimo cha gari yake kwenye mizani kabla hajalipa faini. Jibu analolipata: “Usitufundishe kazi sisi” Swali: Mbona Tanpol wanatuonesha picha tukienda spidi ili tuhakiki UKWELI wa dai, Tanroads wanaficha nini?
fatma karume aka Shangazi95,936 просмотров • 1 год назад

Zanzibar watu wanapigwa RISASI na Tanpol na wanauliwa. Inahuzunisha sana.
fatma karume aka Shangazi109,884 просмотров • 1 год назад

Aliyesema Tundu akamatwe kwa UHAINI anatumia short term thinking. Alivyokamatwa Mbowe nilikukumbusheni kuwa ni Mkristo wa KKT. Sasa mmekamata na kumfunga MKATOLIKI. Kanisa lenye wafuasi zaidi ya 15m hapa 🇹🇿 tena mwaka wa UCHUGUZI. Endeleeni tu!
fatma karume aka Shangazi71,660 просмотров • 1 год назад

Kesi ya Tundu ni SARKASI ya KISIASA. DPP anafanya Siasa. Tanpol wanafanya Siasa. Magereza inafanya Siasa. Mahakama inafanya Siasa. Hakuna SHERIA hapa! No SIASA HOVYO! Nimefurahi kuona Wanasheria wa Tundu wameanza kufanya SIASA pia kwa ku-prosecute Hii kesi kwenye PUBLIC ARENA!
fatma karume aka Shangazi69,964 просмотров • 1 год назад

“Inshallah haingii chunguni” 😂😂😂👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
fatma karume aka Shangazi71,271 просмотров • 1 год назад

Tundu ni intelligent, natural orator na ni natural Mwalimu. He didn’t die baada ya kupigwa risasi 16. Huyu jamaa doesn’t give up! Hizi ni Powerful combination. Hili WAZO lake #NoReformsNoElection ni changa lakini wananchi wanaanza kulielewa na kulikariri. A man to watch,
fatma karume aka Shangazi62,831 просмотров • 1 год назад

Hii issue ya Tundu imeni-impact so much mpaka usiku wa kuamikia leo nimeota kaachiwa. Naomba ndoto yangu ni ya kheir. Kwa waliamua kum-charge na UHAINI, hamjafikiria kabisa mnaibua hoja mpya. DEATH PENALTY Death penalty HAKUBALIKI. As a nation we’re divided on this too!
fatma karume aka Shangazi55,467 просмотров • 1 год назад

Nimesoma vitabu vya wasomi wetu vinavyosema Karume alikuwa hajui kusoma wala kuandika na alikuwa hajui English. ❌ Alikuwa anaongea mpaka Kigujirati na anajua kusoma herufu za Kiarabu na herufu za Kilatini. Hamumjui kama tunavyomjua sisi. Happy Karume Day. ❤️❤️❤️❤️
fatma karume aka Shangazi53,586 просмотров • 1 год назад

Our song. Lucky Dube: “I’ve got you babe”. Leo nimeamkia kutoa sadaka. Allahamdullilah.
fatma karume aka Shangazi61,567 просмотров • 1 год назад

Lucky DUBE! Maskini. He lives through his music. LEGEND!
fatma karume aka Shangazi68,463 просмотров • 1 год назад