Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nani kashauri huu ujinga mkubwa hivi jamani ?
80,342 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Tusipokua makini Serengeti in just 10 years haitakua na mvuto itabaki historia. Ukipita kuona kasi ya ujenzi wa camps unajiuliza Hawa wanyama si watakimbilia Kenya wote. Halafu uwanja wa ndege unamaliza. Watalii Wote wataishia Ile artificial Serengeti ya uarabuni.

Hawa wanataka Kuiuwa Hifadhi ya Wanyama ya Serengeti. Kama Arusha au KIA ni mbali, Kwanini isiwe Karatu?

Utajengaje uwanja wa Ndege Serengeti na Mahoteli halafu utegemee Wanyama kuendelea kuwepo. Wanyama wengi watahamia Kenya. Kwanini wasingepanua uwanja wa Kia, Musoma. Wangejenga hata Simiyu. Watz CCM wanatuuza na kuua Uchumi wa nchi TZ tusikubali. NoReform No Election ♨️ 🔥

Vyote vinaenda pamoja! Ujenzi wa airport mbugani na uchimbaji madini mbugani! Msipoelewa tutawateka wote mtuachie uchumi wetu! Twiga hali dhahabu!! SSH Mungu anakuona! No Ke Tz migration!!

Wapinzani mnakurupuka Sana ,sio serengeti national park ni halmashauri ya Wilaya ya serengeti katika mji mdogo wa Mugumu acha upotoshaji

Alafu kesho kutwa utasikia Uwanja wa CCM SERENGETI!!

Mwendoo wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MARIA (CHADEMA) REMOTE IPO NAIROBI

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

Sasa uwanja wa julius ulikuwa unapanuliwa na kuboreshwa wa nn kama mipango kamaa hii ingekuwepo?

Mwarabu

🤔
Benzer Videolar
Sensitive content
Anayetengeneza hivi ni nani? Ikiwezekana tupate namba yake tumtumie hata hela ya vocha tu , huu ni ukweli mtupu. Retweet hii viongozi waone
Adventure-360
144,265 görüntüleme • 2 yıl önce
