Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nanshindwa kuelewa 🙆♂️🫴
14,469 görüntüleme • 16 gün önce •via X (Twitter)
22 Yorum

Naona hela sa wizara ya michezo zinatumika kimichezo michezo

Kuna namna ya kutangaza utalii wetu na kuutangaza Tanzania kimataifa, ila siyo kwa njia hii ya Mheshimiwa Waziri kwenda kila nchi kuwaambia wachezaji waje Tanzania. Utalii haujengwi kwa maneno pekee, unajengwa kwa mkakati, ubunifu na uwekezaji. 🇹🇿

Huwezi jua pengine rafiki zake km Rio

Alikuwa anaongea nae lugha gani?

mbona sijaotea kitu jamani😂🙌🏿

Ipo siku walahi mwana anaishi

HII NCHI,UPUMBAVU UMEJAA SANA ILA IPO SIKU,MZIMU WA MAGUFULI UTAINGIA KWENYE MWILI WA MTU WATASEMA HAWA SOON TUPO HAPA

African leaders noooo😏

Utaelewa prepo

Lamine kamepiga mlegezo kanaongea na kiongozi wa nchi yetu

Apo ndiyo kanifurahisha

The dumbest mf out there representing a country like his room!!

Kasha timiza ndoto yake

Walisema hawataki kuperekeshwa na mataifa ya magharibi mbona wao ndo wanajiperekesha kwa hayo mataifa ili wapate mikopo hawa watu aiseeee

WALIUWA ILI WATUMIE PESA ZENU KUSHOW OFF

Mimi mwenyewe sielewi

Hii inasaidia nini sasa kwa nchi?

Mikono mingi

Atasema hao ni marafiki zake 🤣, wakati huku kila mmoja ni rafiki wa mwingine 🤣. Alafu hata halijui kuelezea vivutio vya nchi yke, hakina akili hili li matako.

Haibadilishi ukweli kuwa ni mtu mwenyewe roho mbaya zaidi duniani

Tunatakaa akutane na wachezaji wa Chelsea huenda wakaamkaa sasa wanachana sana mikeka

Watu wanaishi ndoto zao



