ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Nanshindwa kuelewa ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿซด

14,469 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 16 ๅคฉๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

22 ๆก่ฏ„่ฎบ

Eng Kevin ็š„ๅคดๅƒ
Eng Kevin16 ๅคฉๅ‰

Naona hela sa wizara ya michezo zinatumika kimichezo michezo

Rouhan Ixa ็š„ๅคดๅƒ
Rouhan Ixa16 ๅคฉๅ‰

Kuna namna ya kutangaza utalii wetu na kuutangaza Tanzania kimataifa, ila siyo kwa njia hii ya Mheshimiwa Waziri kwenda kila nchi kuwaambia wachezaji waje Tanzania. Utalii haujengwi kwa maneno pekee, unajengwa kwa mkakati, ubunifu na uwekezaji. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ็š„ๅคดๅƒ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ16 ๅคฉๅ‰

Huwezi jua pengine rafiki zake km Rio

Ze Planmaster ็š„ๅคดๅƒ
Ze Planmaster16 ๅคฉๅ‰

Alikuwa anaongea nae lugha gani?

tiba asili ็š„ๅคดๅƒ
tiba asili16 ๅคฉๅ‰

mbona sijaotea kitu jamani๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

misha ็š„ๅคดๅƒ
misha16 ๅคฉๅ‰

Ipo siku walahi mwana anaishi

Mwalim Akidic ็š„ๅคดๅƒ
Mwalim Akidic15 ๅคฉๅ‰

HII NCHI,UPUMBAVU UMEJAA SANA ILA IPO SIKU,MZIMU WA MAGUFULI UTAINGIA KWENYE MWILI WA MTU WATASEMA HAWA SOON TUPO HAPA

Bwessa_mnyama๐Ÿฆ ็š„ๅคดๅƒ
Bwessa_mnyama๐Ÿฆ16 ๅคฉๅ‰

African leaders noooo๐Ÿ˜

Zant gar ็š„ๅคดๅƒ
Zant gar16 ๅคฉๅ‰

Utaelewa prepo

Assistant Boyfriend ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ็š„ๅคดๅƒ
Assistant Boyfriend ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ16 ๅคฉๅ‰

Lamine kamepiga mlegezo kanaongea na kiongozi wa nchi yetu

Tariq ็š„ๅคดๅƒ
Tariq16 ๅคฉๅ‰

Apo ndiyo kanifurahisha

C.K ็š„ๅคดๅƒ
C.K16 ๅคฉๅ‰

The dumbest mf out there representing a country like his room!!

Hezbollah ็š„ๅคดๅƒ
Hezbollah16 ๅคฉๅ‰

Kasha timiza ndoto yake

Dady Joseph ็š„ๅคดๅƒ
Dady Joseph15 ๅคฉๅ‰

Walisema hawataki kuperekeshwa na mataifa ya magharibi mbona wao ndo wanajiperekesha kwa hayo mataifa ili wapate mikopo hawa watu aiseeee

Ahmed...... ็š„ๅคดๅƒ
Ahmed......15 ๅคฉๅ‰

WALIUWA ILI WATUMIE PESA ZENU KUSHOW OFF

JOHN GERALD ็š„ๅคดๅƒ
JOHN GERALD16 ๅคฉๅ‰

Mimi mwenyewe sielewi

mzalendo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ็š„ๅคดๅƒ
mzalendo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ16 ๅคฉๅ‰

Hii inasaidia nini sasa kwa nchi?

Nameless ็š„ๅคดๅƒ
Nameless16 ๅคฉๅ‰

Mikono mingi

NABOSI ็š„ๅคดๅƒ
NABOSI16 ๅคฉๅ‰

Atasema hao ni marafiki zake ๐Ÿคฃ, wakati huku kila mmoja ni rafiki wa mwingine ๐Ÿคฃ. Alafu hata halijui kuelezea vivutio vya nchi yke, hakina akili hili li matako.

โœ–๏ธ ็š„ๅคดๅƒ
โœ–๏ธ16 ๅคฉๅ‰

Haibadilishi ukweli kuwa ni mtu mwenyewe roho mbaya zaidi duniani

๐Ÿฆ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Ž โ„ข ็š„ๅคดๅƒ
๐Ÿฆ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Ž โ„ข16 ๅคฉๅ‰

Tunatakaa akutane na wachezaji wa Chelsea huenda wakaamkaa sasa wanachana sana mikeka

George Mwiga ็š„ๅคดๅƒ
George Mwiga16 ๅคฉๅ‰

Watu wanaishi ndoto zao

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘