Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ndiyo!!!! 😂
23,934 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Sisi Tukuyu mpaka Lufilyo huwezi kuta nyumba ina uzio na ukiweka uzio tunakutenga maana unatukataa wana 😊

Mwamba kaeleza vizuri kuhusu trust kwa nchi za wazungu ila kwa Ulaya, ukitaka kujua hii ni nyumba ya tajiri utaona iko tofauti utakuta iko peke yake yaani haijaungana ukuta na nyumba ya jirani yake au ipo katika shamba linalojitegemea. Hii ndio ishara ya nyumba ya tajiri Ulaya.

Jawabu ni Umasikini.

Shida nikulazimisha tuishi kama ulaya. Na sio kweli kwamba tunajenga fensi kisa tumedhurumu, Africa tunamiliki vibaki wengi Laza gari nje kesho kama utaikuta Salama? Majuzi tu madogo wapita njia wamepasua vioo vya madirisha kwangu. N iv Africa nyumba ni fensi.

Ukiujua mziki wa panya road huwezi hoji, nilienda nchi moja kila Nyumba ni kuta ndefu ilipofika jioni nilipata majibu ya kwanini vile, wale siyo vibaka ni jeshi vibaka gani zaidi ya 50 saa mbili wazee wa kazi wanakiwasha msako wa simu na pesa mifukoni mwa kila raia anayezagaa.

Barabara nyingi za makazi zipo tracked na CCTV zipo. Hata uhalifu ukitokea ni rahisi kufwatilia. Bongo hatuna hizo maneno maeneo yetu so ulinzi ni jukumu la kila mmoja.

Jibu ni moja tu "Umaskini" Hilo jibu lako ni rubbish

[NINTENDO] Exclusive Now Available ➡️ #AAAclock ➡️ #SwitchOnline #SwitchOLED

🙌🙌 dah, jamaaa kaongea fact xan

Jibu sahihi Africa watu ni matapeli,wezi,majambazi,hawana uaminifu, lazima ujihami na camera, fence ya umeme, mbwa, mlinzi , hata mlinzi wako unamuogopa, na wewe pia uwe na bastola, haya ndio maisha ya africa, hujiulizi kwa nini magari mazuri side miller wanaziandika namba?

Mwamba kakwepa kujibu kwa usahihi kajibu kielimu
Benzer Videolar
Sensitive content
Haya Ndiyo Madhara Ya Kunywa Pombe Za Bure😂😂
Singeli za Bongo
211,377 görüntüleme • 1 yıl önce
