正在加载视频...
视频加载失败
Story Ndiyo Itakayobakia………💐 Link 👇🏻
23,342 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Johanes George2 年前
Nishatoa mimba nyingi za wanafunzi kipindi daktari,, daah hii verse imenikumbusha kipindi tunasoma abortion kama family planning,, na ilikuwa ni point tunaitetea munooo,, nimekuja kuelewa madhara Ake nishakuwa na muda ushaenda

Juliana(PHD)2 年前
Biblia inasema usioe mwanamke mwanamuziki !

Jeany💐2 年前
Hii novena nzuri sana hakika kwangu inafanya majibu mazuri 🙌

Brenda2 年前
Songiii kali hilo

Fadhili Kandila2 年前
Hii ngoma ndoyo ringtone yng kwenye simu

Lil Dee2 年前
Imenyooka sana hii

Dsm Finest2 年前
My Favorite

wajua2 年前
Kumradi hiyo ni gaun uliyovaa🔥🔥

Ally 🇹🇿🇺🇬🇺🇲2 年前
Tumeumbiwa KUSAHAU

TUKASHIKAMEKA2 年前
🔥🔥🔥🔥🔥 Tuwachane mpaka wachanike, wapate Neema ya kutubu kabla ya kufa kwao. #ngomakali
