Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ndugu Mgeni Rasmi.
35,332 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

NM1 yıl önce
Asante Baba Askofu, Mungu akubariki. Alafu Mimi nasema hata vyombo vyetu vya habari vimekaa kimkati hizi habari huwezi kuziona Kwa Ayo na wengine?!

A Man of Wisdom1 yıl önce
Kanisa katoliki hawajaacha kusema kuhusu Haki. Licha ya JPM (RIP) kuwa muumini, bado walipasa sauti kwa mambo waliyobaini hayakua sawa katika Utawala wake. Salute!

Mwendokasi Promo1 yıl önce
Hawa ndio wale ambao hawajalamba asali tutafika mwezi wa kumi tukiwa tumechoka sana

shebbykadumee1 yıl önce
Amepigwa za mshono kiaina ndugu mgeni rasmi

Solar Heavy1 yıl önce
take the journey

VETA BOY1 yıl önce
NDUGU MGENI RASM

Hofa Jr161 yıl önce
Mgeni rasmi alikuwa nani?

WISDOM1 yıl önce
Waovu Watawalapo Watu Huugua 🙏🙏🙏

MARGARET MORGAN1 yıl önce
Mwenye masikio na asikie.

Mnada Nchege1 yıl önce
Mgeni rasmi alipigwa vitasa siku iyo

Professor fortu1 yıl önce
@ikulumawasliano
