Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Neno Moja kwa mchambuzi

59,105 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

Tito Magoti profil fotoğrafı
Tito Magoti1 yıl önce

Idiot

Maxwell620 profil fotoğrafı
Maxwell6201 yıl önce

Mimi sijaona haja ya nyie kumshambulia kwa sababu alichoongea ndo kilichotokea Tabora defensively walikuwa very solid na walichakuwa muda wa kuishambulia yanga na walifanikiwa. Na wala hawakutaka kupishana nao.

Edvin Mkini profil fotoğrafı
Edvin Mkini1 yıl önce

Mchambuzi hisia Huyu, hana anachojua

Mbwiga Haruna profil fotoğrafı
Mbwiga Haruna1 yıl önce

Asira za mkeo Unapeleka barabarani Sasa Utakachokutanacho Sasa nibalaaa

mr_profit_19 profil fotoğrafı
mr_profit_191 yıl önce

Me I think wanakwalite ya kiwashenyenta

Daktari wa maabara profil fotoğrafı
Daktari wa maabara1 yıl önce

Maneno haya sio mageni mjini labda kama wewe ndio mgeni...

Megamind profil fotoğrafı
Megamind1 yıl önce

Hapo ametoka kuiona Madrid ikichapwa mechi mbili mfululizo, City akipigwa mechi 3 mfululizo. Alafu anakuja kusema hivyo. 😄😂 Hivi watu mmeanza kufatilia mpira juzi nini, Mpira ni dakika 90 jamani. 😂🙌🏾

presidaa profil fotoğrafı
presidaa1 yıl önce

Uchambuzi sio sheria nafikiri sio Sawa kumshambulia huyu kijana anatoa mtazamo wake kama ambavyo mwingine anaweza kutoa mtazamo wake

Gmmytz🇹🇿 profil fotoğrafı
Gmmytz🇹🇿1 yıl önce

Nakumbuk aliwahi kusema yanga haiwez kupotez mechi zaid ya moja mfurulizo kama ambavyo simba ilifanya baada ya ku droo but Jemedari alikanuka hili coz kweny football kuna maajabu

𝐏𝐞𝐩𝐩𝐢𝐧𝐨 𝐘𝐮̂𝐬𝐢𝐯 profil fotoğrafı
𝐏𝐞𝐩𝐩𝐢𝐧𝐨 𝐘𝐮̂𝐬𝐢𝐯1 yıl önce

Yupo sahihi Tabora wamekuja na game plan nzuri hawajataka kupishana na Yanga ndio maana wakashinda

Benzer Videolar