Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
NGOJA KALI SANA HII HEBU #Repost
57,288 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
33 Yorum

ingia hapo. Like shareand subscribe

Tukamsapoti YouTube, Tunaomba link ya YouTube

dahhh bonge moja ya nyimbo,,😃😃basata watasema tumeifungia inaleta uchochezi,,,ila za matusi zinapigwa kila pahala,,hii itumien sn kwny mizunguko yt ya no reforms no Election..

Walio uza ngorongoro watauza na mikumi

@Roma_Mkatoliki sikiliza dundo hili mzee

Duuuh HII KALIII SANAAAAA HUYU ALINDWE KWA WIVU MKUBWA SANAAA

@Roma_Mkatoliki embu REPOST GOMA LIFIKE MBALI 🫵

Vijana wa Tunduma hao

Nimejalibu kumcheki jamaa aisee anajua sana mwanamapambano kweli

Kaliiii

@Roma_Mkatoliki

🔥🔥 hii ni kali

Drop link tukashare upendo

Alhamdullilah, JINA LA BABA LIHIMIDIWE na Kila lenye Haki lisimame Daima #NOREFORMSNOELECTION2025 IJITOKEZE

Bonge la mkwaju 😭😭🙏🙏🙏

Kaua

Daah bonge la dude mamaeee🔥🔥

Iko poa

Aweke number tumpatie kifuta jasho huyu mtu

Hizi ndizo ngoma zilizoleta ukombozi SOWETO ✊🏼💯 Weka pembeni ngoma za kusifia sex na pombe kali 🚮

Here we goo

Wametisha sana

Hii yenyewe kabisa

Ujumbe mzuri💯 @Twaha_Mwaipaya

Ngoma kali sana 🔥🔥🔥🔥

UJINGA TU

Kali mno

Aipo YouTube nini?

Mwanetu alie karibu nae tumgawie ya maji.. Mchekini.

Jiwe👊

YouTube link?

Naomba linki ya hii nyimbo

Oya mwanangu mikato @Roma_Mkatoliki ulimpa huyu mwamba mistari yako nini? Mbona nahisi mkono wako kabisa huu.
