Ngoja nitamuonyesha hii video...
@Rydx_017102K followers
15,471 views
7 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Leo, Nilikuwa namkanya Mdogo wangu na kumwambia maana ya kuvaa MLEGEZO. Akawa anahisi kama naongea uongo au namtania, Nikamwambia kwani ushawahi kuona Mzungu kavaa Kata K? Akawa haamini, Sikiliza hii, na umwambie asiyejua.. Video kwa Comments๐
455 likes

@greatAlonso7
mwenyewe sikio na asikie mwenyewe macho na ameona ๐๐
2 likes

@coster_myamba
Vijana wamesikia
1 like

@Pierre88751351
Mtazamo wake,
1 like

@mziwanda03
๐๐คญ
1 like

@PowercertTz
Mtindo huu wa uvaaji (kwa kiingereza "sagging"), ni kweli chanzo chake ni gerezani, ulipo tumika kutoa ishara ya utayari wa mapenzi ya jinsia moja, ila baadae ulivuka kutoka gerezani na kubadili maana baada ya kuanza kutumika zaidi na wanamuziki wa hip hop kama ishara ya kwenda kinyume na mitindo mingine ya uvaaji na ujasiri wa kuwa tofauti na wengine (ugumu na misimamo). Vijana wa kivaa style hii hawana maana ya kukubaliana na mapenzi ya jinsia moja, lah! bali wanamaanisha maana ya pili ya hip hop.
1 like

@ckhidinzy
Sisi tunatambua fashion hayo mapenzi ya jinsia moja anajua yeye๐ซฃ๐ซฃ
1 like