Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

159,832 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von herochief🪐
herochief🪐vor 3 Jahren

Na uhakika kbsa uyu jamaa anaweza kuwakabili hawawote....Ila katumia andiko ukipigwa shavu moja mgeuzie na lingine ....note ana nafasi yake peponi

Profilbild von BILLY💰 ➿
BILLY💰 ➿vor 3 Jahren

Aliyesema sisi weusi tuna akili kuliko wazungu akamatwe aliwe kiboga. Hatuna akili

Profilbild von Wireman
Wiremanvor 3 Jahren

Hii video imeniharibu ubongo. Siwezi kusema ingekuwaje kama ni mimi ila huyo askari sidhani kama angeendelea kuishi kawaida.

Profilbild von Robert M. Mushema
Robert M. Mushemavor 3 Jahren

Ni Africa.😊 Africa yetu watu wanaingia jeshini na dhana ya kwamba wakifuzu mafunzo, wao sio raia..hawahusiki na sheria zinazowahusu wananchi..wana utawala wao tofauti na raia..inafaa raia wawaogope.. yaan a very cruel and uncivilized mentality.

Profilbild von Abracadabra!
Abracadabra!vor 3 Jahren

Kuna alie jaribu kwangu hivi Kwenye Sherehe years ago ni vile video haikurekodiwa, nafikiri alipo atarudia hilo kosa. Cha muhimu vijana fanyeni mazoezi, starabika na ijue sheria na haki zako vizuri hutaonewa

Profilbild von Dr. Meku 🇿🇼
Dr. Meku 🇿🇼vor 3 Jahren

😅😅 sio kwa ubaya, ila, kuna mmoja wao hapo asingenisahau hadi siku anaondoka hapa duniani.

Profilbild von SimbaMilia 🇷🇺
SimbaMilia 🇷🇺vor 3 Jahren

Nasoma comments za Keyboard worriors hapa.

Profilbild von M.D (🅨)
M.D (🅨)vor 3 Jahren

Sijajua ila hii video ni ya muda sana

Profilbild von Ufafanuzi
Ufafanuzivor 3 Jahren

Hii ni video ya kitambo kidogo, cha kujiuliza hao walio tenda hilo walishughulikiwa?

Profilbild von Jimmy F 👨‍🎓
Jimmy F 👨‍🎓vor 3 Jahren

Hahahahah 😅😅😅 hapa sio bongo 😅.. Ila hata kama ni polisi wa aina gan mimi hunipigi ivyoo 😅😅😅 labda uniue nitulie 😅😅😅

Ähnliche Videos