Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nimecheka 🤣🤣🤣
10 Yorum

Mzee wa Makamo3 yıl önce
Aisee nimekumbuka B.mkubwa alikua anavua kandambili anasema Kama unataka tukimbizane tangulia ukifika mahari unaona sitaweza kukukamata sema Piii🤣🤣🤣🤣

Lubasha Jr3 yıl önce
🤣🤣🤣🤣

Daktari Wa Manesi 💉💊3 yıl önce
Malezi yao ndio tumefika hapa leo hii

Lubasha Jr3 yıl önce
Naam

Cityzen3 yıl önce
@MrSanga_BM Sometimes unaweza finywa kwasababu Tu mtoto wa jiran ame misbehave, yani unafinywa alafu unaambiwa nikuone na ww ukifanya vile😂😂😂🙌🙌

Hika Lyimo3 yıl önce
Saivi wee ndio unalelewa na kids 😂

Lubasha Jr3 yıl önce
🤣🤣🤣

Kamamaa3 yıl önce
Ila tumenyooshwa wallahi 🤣🤣

Lubasha Jr3 yıl önce
Kwakweli tumepigwa 🤣

PATEL3 yıl önce
Ndo maana Kizazi cha sasa kipo emotional sana denial kidogo tu mtu anataka kujiua, sisi unakua huna hisia unakabiliana na dunia vyovyote vile inavyokuja bila kulia lia!,,kuna ile unapigwa mapema kwa kosa la mtoto wa jirani ili usije ukalifanya 🤣🤣
