Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

95,476 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

BestHope profil fotoğrafı
BestHope2 yıl önce

Huu ndio uhalisia halisi wa nyumba nyingii. Ndani kinawaka kweli ila nje watu wanaigiza mambo shwari

AngAgn profil fotoğrafı
AngAgn2 yıl önce

Dah! Hatari sana hii Wageni hata hawajapiga hatua Ngoma inaendelea ilipoishia

Daktari Wa Zamu, MD profil fotoğrafı
Daktari Wa Zamu, MD2 yıl önce

Unatumia vifaa Eeh 😂😂

Madofolo🇰🇪 profil fotoğrafı
Madofolo🇰🇪2 yıl önce

Hata hawajakwenda mbali, tayari kifaa kimerushwa😂😂😂😂

Pizallo profil fotoğrafı
Pizallo2 yıl önce

Duh kuingia kwenye Ndoa bila short kozi ya ngumi mim siwezi

Mwacha profil fotoğrafı
Mwacha2 yıl önce

😂😂😂😂 duh

Gungurugwa Abbas profil fotoğrafı
Gungurugwa Abbas2 yıl önce

Hao sasa ndio wazazi!!

ZEUS⚡ profil fotoğrafı
ZEUS⚡2 yıl önce

@erick_mirumbe

Fidu rashidi profil fotoğrafı
Fidu rashidi2 yıl önce

😂😂 niltamani nimuone bi mkubwa yuko na pozi gani baada ya kurusha hilo kopo 🤣🤣

MENTOR profil fotoğrafı
MENTOR2 yıl önce

Daah nimecheka kifala sana hii clip

Benzer Videolar