Loading video...
Video Failed to Load
Nimekutana na hii uko wosap ๐
35 Comments

Nimekupigia kura mimi, uone ninavyokupenda! Halafu wewe unaninunia hapa!! Maneno mazito sana

๐๐๐๐

@lifeofmshaba Mungu ampe afya njema amfunike kwa mbawa zake kila iitwapo leo malaika wamzunguke na kumpa ulinzi Mwenyekiti wetu Tundu Lissu damu ya Yesu ikanene mema kinyume cha mabaya yote kila iitwapo leo akaonekanie na kuinuliwa juu ya Mataifa ๐.

TAL si mtu wa 'makando kando'. Huwa 'ananyooka' sana; Mtu aliyejaa kweli daima nafsini mwake. Hana chembe ya unafiki wala visa moyoni. Wachache sana binadamu wa tabia/sifa hizi. Mungu azidi kumweka/kumtunza ili kusudi aliloumbwa kwalo alitimize. Tuzidi kumwombea uthabiti TAL.

TL ukute alimpigia kweli ๐คฃ๐คฃ

Inawezekana.

Wallah naapa Chadema ndio tumaini letu chini ya uongozi wa Liss na Heche Mungu ibariki chadema Mungu ibariki Tanzania

๐คฃ๐คฃ๐คฃTAL kiboko, et wewe unaninunia hapo

Amenyooka

Frreeman Hii Siku Hatakaa Haisahau Maisha Yake Yote Hii Ndiyo Tumemjua Tabia Yake Yote ya Uwenyekiti Wake wa Karibu Miaka 20 Atukuwahi Kumjua Tabia Yake Mungu Mbariki Mh Lissu

Mh Lissu yuko real sana

. Afuu wew unaninunia.. kumbe mwamba alianza kununa skunyingi

Hadi kununa alinuna ๐คฃ

We dont deserve Lissu aisee

Ilikuwa poa Sana, Sasa sijui kwanini Mzee FAM Baadae kabadilika

Uone ninavyokupenda alafu ww unaninunia

TAL has pure heart

Aisee TAL huwa anasema ukweli bila kumung'unya maneno.. ๐

Naomba uiposti Kila baada ya siku tatu dada Hilda plz๐๐พ๐๐พ๐๐พ

Hakuna siku mbaya kwa FAM kama hii maishani mwake

Lissu ni Binadamu na kiunbe cha Moyo wa kipekee. Moyo wa shujaa.

Sema tapeli huwa anaonekana tu ๐๐๐ .

@NaomiUliza ๐๐๐๐๐๐ real people ni mwenyekiti lisu

Lissu he's very humble

Alafu wewe unaninunia hapa ๐คฃ๐คฃ

@TemuDick Mwamba FEKI Moyo wakukubali kushindwa hana, kasusa kama mke alieachwa. Katuangusha sana. Lakini sisi ni watu sio milima tutaonana tu.

Ingekua ni zamani zile tungwsema Lissu ni Nabii ila nyakati zinakataa. Mungu awe nasi inshaallah. Lissu anaupendo sana

@YerickoNyerereT ooh hakuna kuhama Chama kumbe mlianza unafiki na kununa mapema na Mungu si Athuman mkapigwa chini

Huyu mzee macho kumchuzi kwa unafika

Huyu lisu kwa kawaida tu unaweza ukachukulia alichoongea ni kitu cha kawaida kumbe eee ni ujumbe unaishi kwa kila mtu

Huyu TAL ni mtu na nusu

Baada ya kushindwa huyu Mzee alinuna sana ๐๐

๐๐๐๐๐๐ila TAL

Huyu mzee kanyooka kama rula

Lissu kanyoosha bila kupinda pinda,makavu live
