Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Nimemkuta Daudi, Mtumishi wangu..!
27,187 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Prosper puro2 лет назад
Dah! Nina kama mwezi silijui kabisa kanisa aiseee, wimbo umeni kumbusha ubatizo wangu inanibidi nijiludi sasa all in all Mungu akazilinde izi talenti zetu 🙏🏾

Deusdedit John Kyara2 лет назад
Vijana wa parokia ya Nzasa Kimara suka Golani

KAVISHE2 лет назад
hawa watoto ni wa Parokia kwetu Nzasa kimara suka🔥🔥🔥

Nelius Ruharara2 лет назад
Safi sàana,mlee mtoto katika njia nzuri ata akikua awezi kuiacha.

Langley metonym2 лет назад
Our future ❤

Mr ECCO2 лет назад
Duuu wamaetisha hao VIWAWA

Brian Gasper2 лет назад
Anajuaa dogooo

Pilato2 лет назад
Talented

Kaisari2 лет назад
Wow

barnaba2 лет назад
@TweetHelperBot download this
