32 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Vanton_Tz
Kibegi kinatrend kuliko wiki ya Mwananchi 😂 hii imeenda
6 likes

@AnoldUrio187568
Semajii acha kuniangisha c ungenipa hiyo chance sasa😁
5 likes

@daniel_mwalongo
Daah yaani ingependeza sana kama ungekuwa nacho live kule kileleni wakati kinafunguliwa 🙆🏾♂️ wameshindwa vipi kukubeba tu🤣
5 likes

@davidjohn_tz
Umeona usije tia aibu shekhe
4 likes

@Ilumbo_julius
Sasa itakuuaje huko kiongozi gani mkubwa atatambulisha jezi na nani atachukua tukio live la kutambulisha jezi?
3 likes

@MakoyePaul
😂😂😂😂
2 likes

@071669206n
Kibegi chetu kinatrend kuliko siku yao
2 likes

@sabas_assenga
kaka mkubwa japo mm cyo mwelewa wa mambo meng ila broo kwenye swala la kuweka viongoz wa chama kwenye jez mpya tena chama kimoja haijakaa sawa team ya mashabik weng na viongoz wa2 tu hapo ndo mashabik wa team hilo kwa Heshima ya Club ye2 mngeliacha * [ samahan kama ni kera broo]
2 likes

@PatrickMajengo
Nilitaka kushangaa Kwa afya gani ufike pale ukazindue jezi
2 likes

@IamMadamAkinyi
Sio vita bana😃Kuna watu wanafuatilia kibegi kuliko hata simba wenyewe yaani wamesahau majukumu yao. Kibegi day! ! 😏😏
1 like

@Anaclet104
Semaji @ahmed__ally what if kibegi hakijafika kileleni hiyo ijumaa, itakuwaje sasa!? 😂
1 like

@abenezeri_alex
@ahmed__ally tumeshatoboa
1 like

@GKipaya
Umeharibu move hii, ilitakiwa ufike kileleni ingevutia sana aisee
1 like

@petermaucky
Kaka apo umefeli sisi tulitegemea semaji la vilele litanguruma kama simba pale kileleni af unashuka hata hujafika popote
1 like

@DavidKileo3
Makubaliano si Uhuru kileleni, vp tena km 3 @ahmed ?!!!! Hahahàhaha
1 like

@yk1901776
❤️
1 like

@Naseer_Xhaban
😃😃😃Semaji kala nyoya🏃🏃🏃
1 like

@Ubaya_Tz
😄😄 semaji we ni hatari
1 like

@BONIPHACEH
Umetishaaa sanaaa mdauu #nguvumojaaaaaaa

@shajaratmubaraq
Sema mwenetu kaza sauti watu mtaani wanaanza kuwa na mashaka na wewe











