Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nini kimemkuta huyu?
68,526 görüntüleme • 11 gün önce •via X (Twitter)
26 Yorum

Tutaongea sauti Moja ni swala la mda tu

Yaani kama kuna mtu siwezi kumwamini kamwe basi ni huyu Nnape. Kama anaweza kuhalalisha njia haramu kubaki madarakani basi kumwamini ni ukilaza wa hali ya juu. Ukiona hivi jua kuna mahali kabanwa.

Hii video inawezekana ni ya zamani around 2014 walikuwa na kampeni yao ya kujivugua magamba. Nape alikuwa Mwenezi wa CCM wakisaidiana na Mzee Kinana. Walipiga Spanner sana wakati huo

Yuko serious au🙄🙄

Pameanza kuchangamka.

Hizi mbinu zishafeli kitambo CCM ipo imara sana

Ni suala la muda tuuu

Kumekucha 😅

Siyo A.I. KWeli

Naona fyekeo linamuusu mapeeema

story hiziiii

Dude sio la Kuamini Hili

Tutaimba wimbo mmoja ni suala la mda

Hii video ya Nape wakati akiwa Katibu mkuu uenezi wa CCM kipindi cha 2015 kuendelea mnaunganisha na picha ya Samia na Nchimbi kitu ambacho mnatafuta kumpigisha shoti mtu huu ni upumbavu wenu

Mmmh

Mbona hii video inamihemko ya lama sio sahizi

Shida ya watanzania ni wepesi kusahau😂 Video ya mwaka 2015

Ya lini Hii

Wacha kiumane

Kama ni kweli wacha watoane maini na figo ....kwani dagaa kauzu na ugali wangu una poa ..nataka kusherekea wakimalizana

Jinga tu hili

"Mungu hakupi unachotaka, anakupa unachostahil hivyo usimwamin mtu hapa dunia hata ww pia usijiamin 100% 2030 tutafka tumechoka sana na wengne hatutofka maana Kuna EL NINO 🙏

Tapeli

Msimsikilize hilo pimbi @Nnauye_Nape ni mnafiki hapo hajapewa cheo ndo mana ila mkumbuke alichangia kumuuuwa Lowasa huyu msenge msije mkamsaau akiongea hivi utazani mtu hapo ni mambo ya kikuma hana lolote

Ni lini hii ?

Mochezo yao iyo wanatengeneza matatizo kisha wanajifanya watatuwaji hawanajipya wahuni tu
Benzer Videolar
Men sasa ukipata kama huyu nini ingine unaezataka kweli😂
~•𝐊𝐔 𝐂𝐎𝐌𝐑𝐀𝐃𝐄•~
89,424 görüntüleme • 2 ay önce
