Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
No need to caption……..
32 Yorum

Huu ni ujumbe mzito sana dada . Message imeeleweka kabisa . Wenye D2 gonga like 😎. It’s so sad kwamba wauaji wameblock njia zote za kudai haki kihalali . Every single credible way ya kudai haki wamezifunga zote, zote. Sasa hili swala linaloendelea Congo kwanza mimi nimefurahi kuona watu Wanapambana kupata haki yao , japo it’s so sad kwamba nchi inafika hatua kama hiyo. Lakini kwa mahali ambapo tumefika, hatuna jinsi than kuiga mfano wa Congo na kudai haki kimabavu. CCM kwasasa wametuonyesha Kamba hawatotoka madaraki hivihivi, na hatuwezi kukaa kimya kwasababu at the same time wanaendelea kutuua. Nasisi tutapata bunduki and then tutakuwa equal to fight. Kuna namna unavyowasilisha ujumbe inauma sana . Kama mtu unataka ku-heal and at the same time unafikiria damn we got a long way to go 😢. Asante sana kwa huu ujumbe.

Nikiangalia Albania wanavopambania nchi Yao najiuliza sisi tunakwama wapi!? Hata diaspora tukiita maandamano ni wangapi wako willing kusaport..(mindset)

KWANI KUKODISHA WALE M23 NA HAO WANAJESHI WA KABILA WAJE TANZANIA KUIKOMBOA NCHI YENU NI BEI GANI? HII MI CCM ITAONDOKA KWA BUNDUKI TU… POROJO, MIDAHALO SIJUI SPACES, SIJUI TIK TOK NI UPUUZI TU.

Kinachosikitisha ni kwamba hii video siku itaangaliwa tayari tukiwa na vita na nchi imesambaratika kwasababu ya watu wajinga wachache wenye tamaa na ulafi wa kikuma

Samia ni sumu mbaya ndani ya taifa letu ( samia must go)

Umesema Ukweli dada Mange. Watu wa Tanganyika itabidi wajihami na kupigania ukombozi wa nchi yao.

Take heart sister Mange,Tutashinda na tutarudi hapa kushuhudia kuu wa Mungu💪❤️❤️❤️

Kikwete ameisaliti sana hii nchi. Alikuwa anaipeleka CCM na nchi kwenye crisis, Magufuli akaja akajaribu kubadilisha hali, wakafanya mbinu wakammaliza, sasa wanaturudisha kule na hali ni mbaya zaidi. Tusipopambana na haya majizi, forget about it. Lissu hastahili aliko.

Muda wa Watanzania kuamka kutoka kwenye Usingizi mzito.

Ni lini mapambano ya kutafuta haki yatafika mwisho? Ni lini tutapata haki bila kuililia, kuipigania na kuhatarisha maisha yetu? Hivi kweli haki imekuwa anasa katika nchi yetu? 💔

@UHURU12345 Dada Mange inaumiza sanaa, tuliko na tunakoelekea ni kubaya zaidi ya damu na machozi tunayotoa kwa sasa😩😩😩Mungu tumemkosea nini???

@MariaSTsehai Me naona its too late tu; hawa wanyama ugaidi na uuaji ndo lugha wanayoielewa; kwanza TZ is too poor kuleta ahueni yoyote kw an average young TZ na bado mauaji waliyoyafanya so acha tukose wote ila waonje raha ya ukatili wao

Nchi imeharibika kila nyanja watu wanatumia reason gani kufurahia mambo yasiyo na maana, Tanzania ilipo sasa watanzania Ilibidi wawe hawana appetite kama wagonjwa, but change and revolutions

Bila kuwa na kundi la waasi hatuwezi ondoa hizi taka taka barabaran

Ilaaa kuna mbunge wa chadema alisema hayaa,,wakimaliza chadema watafwatwa wao kwa wao CCM

Solution ni bunduki, hii ndo lugha pekee watakayoelewa

SIO CCM. NI KUNDI DOGO LA WAHALIFU WALIOITEKA CHAMA

All in all Naiona deepest desire ndani yako dada mange ya kutaka mabadiliko ya nchi hii Wewe ni mzalendo haswaaa

Hii ituamshe Watanzania tunaelekea kubaya sana.

Mwenye ile video inasema ccm itatoka tu naiomba🙏

MO 29 TUTAKUWEPO😒😒😒😓

Huyu ndo wanatak kumlinganisha na niffer??

Spot on. Kikosi cha "waasi" kikiibuka kitapata sapoti kubwa sana na wahanga wakubwa kabisa watakuwa na maccm wanaomuabudu samia na genge lake la WAHUNI

Hali ya hewa imepigwa bomu la nyuklia, hali ni mbaya sana

Dada wa Taifa ni 1

Kilichobaki ni kutengeneza jeshi la kutetea wananchi.

@mackphason Pole sana Dada Mange,,, naona umeumia sana unataka kulia. 💔

@UHURU12345 FRN na M23 sio waasi ni freedom fighters!

You said it well

Sema bongo saiv Ni kubaya Sana 🙏

Unajua kuuza hisia sister🤝, u understand ur crowd. Umepata traning pahali

"Watanzania tupigani haki,ila CCM imezuia njia zote za kudai haki" sasa iyo haki inapatikana kwa njia ipi..?
