正在加载视频...

视频加载失败

NO REFORMS NO ELECTION.

18,156 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

ULIZA DEUSOKA 的头像
ULIZA DEUSOKA1 年前

Hii nyimbo ni moto sana. Imeifanya kazi ya HAMASA na HAMSHA HAMSHA kuwa ya aina yake. ”tonetone wananchi tonotone..! changia mabadiliko tonetone..! tupate katibampya tonetone..! 💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾 DJ Shikilia.. @Twaha_Mwaipaya

Just Talk Jr 的头像
Just Talk Jr1 年前

Unajitoa sana kwenye mambo ya haki. Mungu akukumbuke wewe na vizazi vyako!

Rashid Mugheiry 的头像
Rashid Mugheiry1 年前

Mzeee ushangiria tone tu tone itakavyosoma baada ya hapo

milo itogoro-2025 的头像
milo itogoro-20251 年前

Kweli bunge halikubaliki kwa watanzania linatazamwa na watu 35 tu hiii ni aibu sana

Mike Johnson 的头像
Mike Johnson1 年前

Ready, set, GO! President Trump's term is off to a GREAT start. What should House Republicans do to help him? RESPOND >>

Janeth Njau 的头像
Janeth Njau1 年前

✌️

Boniphace Nkombe 的头像
Boniphace Nkombe1 年前

Sema hiz shughuli Kijana wa Temeke unaziweza sana..😂Hongera alsana mkubwa✊🏿

Shikilie Shikilie 的头像
Shikilie Shikilie1 年前

Umeteeeeeshaaaar sana Twaha! Song la kwenda kwelikweli....sambaza hii!

Saint 🧚 的头像
Saint 🧚1 年前

Oyaaaaaah' Ni 🔥

Tunibo Rich 的头像
Tunibo Rich1 年前

Ndato moja iyo

CAPTAIN FONZIE 的头像
CAPTAIN FONZIE1 年前

Gen Z

相关视频