Loading video...
Video Failed to Load
Nyumba ya DC Temeke
53,332 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Moto ni Adui namba moja,nauogopa sana Moto,watu wengi sana wanadharau moto ila ukiwaka ukachelewa kuudhibiti huwa ngumu sana kuuzima.

Is this his personal property?

No government house

Huyo DC yuko ndani au..?

Moto uwa hauna timing nzuri

Kwani yale magari ya washa washa hayawezi kuzima moto🤔

Apparently they (public sector commissioners) will tell you to buy an extinguisher instead of installing fire hydrants across municipalities & districts in accords of swift appliance. Nyumba yenyewe ya D.C jamani ilikua hata haijakamilika. Hatari fire! Saa itakuaje?

Yaani waliona moto wakaribu kuuzima wakidhani wataweza . 😳😳 Moto Umeshapanda juu ya paa hatuuwezi tena inabidi tuite fire waje kutusaidia . (Mashauriano juu kuita fira yanaendelea na moto unaendelea.)😳😳 Moto umetuzidi na tumeshindwa kuuzima sababu upo ghorofani na nyumba ni ndefu hatuna ngazi ya aina yoyote na fire hatuna mawasiliano yao ( Hapa inaonyesha walikuwa wanafanya kitu wasichokiweza na bado hawakufikiria fire wakati moto unaanza)😳😳 My take : Nyumba kama hii inakosaje namba za fire , ? Wale wanaopita kukagua mitungi “ Fire Extinguisures” kwenye majengo huwa hawaachi contacts? Au kuna majengo huwa hayapo kwenye hizi taratibu.? Hapa kuna funzo juu ya elimu ya kukabiliana na moto kwenye jamii. Imagine ndani ya nyumba ya mheshimiwa (kama kweli) watu wanakosa knowledge ya kuzima moto . Sasa sisi wa Mbagala kwa Bi Nyau huku hali itakuwaje .? Habari za asubuhi nimeamkia Mikwambe kwa mchepuko wa kizaramo.😎😎

Hivi yule kenani sijui kihongosi ni wawapi? Huu moto ungefanya jambo kwake tena saa 9 midnight huko.

Sijui chanzo ila vijana wanahusika 😄
