Loading video...
Video Failed to Load
Nyumba ya Nandy na Billnass🙌🙌 so amazing 🔥
149,329 views • 2 years ago •via X (Twitter)
11 Comments

The OMEGA2 years ago
Dah Nandy anamlea mmewake vizur Chek gharama alizotumia kujenga nyumba ya kuish na Mumewake..

Neypaul🤎2 years ago
Sio vizuri

Latto 𝕏2 years ago
Hili ndio DEFINITION YA KASRIII

Neypaul🤎2 years ago
Kabisaaaaaaaaa

ngoko1172 years ago
Nmependa idea ya gitaa kwenye swimming pool

Neypaul🤎2 years ago
Me too

JusTrade w/ 데니스 🇿🇦2 years ago
kiukweli mimi siwezi kuja kujenga kubwa kama hili for security issues

Neypaul🤎2 years ago
@DenisMdogo Acha uoga

𝑀𝐴𝐿𝑈𝑀𝐸☨2 years ago
Sio mda nimeota hii ndoto nitakuja kuwa kama nandy na mzee nenga

Mussa Mohamed Mahmoud2 years ago
Kwanini sio Bilnass na Nandy? Kwanini umeanza na jina la mwanamke, mwanamke anamiliki chumba, jiko, Sebre, choo, bafu na kibaraza, ila nyumba anamiliki mwanaume, NITAKUELEWESHA BAADAE

Neypaul🤎2 years ago
Najua kabisa ni mwanaume, sina maana mbaya kwa kuanza na jina la Nandy
