Skip navigation
Ohh, Pesaaaa!!
0:00 / 3:12

Ohh, Pesaaaa!!

Latto 𝕏

@Rydx_01799K followers

Visit on X
489 likesDownloadOriginal post

34,044 views

Ohh, Pesaaaa!!

9 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • Latto 𝕏's profile picture

    @Rydx_017

    Hili ndio FUNDISHO!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½ Womens!! Acheni kujitamba kwa hela ambazo sio za kwenu!!! TAFUTENI ZENUUU!! Angalia kilichomkuta huyu dadaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½ Video kwa CommentsπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

    802 likes

  • Latto 𝕏's profile picture

    @Rydx_017

    #WADHAMINI TIGO/ZANTEL POST PAID Zungu anaunga vifurushi kwa mtu mmoja mmoja tu huduma inakua tayar ndani ya masaa 24 hadi 48 VIGEZO Tin Namba, kitambulisho chochote, email yako active, namba yako (huna chochote inbox whatsapp) Bila kusahau screenshot ya muamala wako FAIDA ZAKE ~Ukiwa kwa system unaweza lipia packge kidogokidogo hadi ukamilishe ~Unaweza shuka hadi packge ya 15k Kila tarehe 1 unawekewa packge uliyoomba mcheki inbox kwa tayari kuungwa Whatsapp link

    3 likes

  • abuubakari's profile picture

    @mpamtuA

    Daaa! Na pia hajala siku 2.

    4 likes

  • Sophia Kizenga's profile picture

    @kizenga_sophia

    huo n uongo yan kwaninavyoelwa mtu ambae nmpenz wako hatakama hana hata sent ila angempa hata pole sio iyo kumuwakia nakukata simu hayo maigizo nikama bongo movie ya zamani walivokua wakiigiza mana saiv atleast wanajitahidi hao jamaa wasituone hatuna akiliπŸ˜‚πŸ˜‚

    2 likes

  • Tony.'s profile picture

    @Tony20_22

    Ameigiza vizuri ila kwenye kuomba hela hajavaa uhalisia wa tukio, yani ameomba style ya kupiga hela na sio style ya kutatua changamoto.

    1 like

  • 27NOELL's profile picture

    @27noe_

    Et hii siku ya pili sijala, nimecheka kisenge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    1 like

  • jeery's profile picture

    @Max97jeery

    Daaah ebhan me wazaz kwanza af wakitoka wazaz wanakuja wanangu wote yan marafiki kindakindaki yan then ndgu wanafata mpenzi inakuja kama ziada tu yan. Peace Amigos✌️

    1 like

  • KetamineπŸ’‰πŸ’Š's profile picture

    @Nyandu_T

    No reality here, Kwa navojua kama ni mpenzi wako kapata shida hata kama huna Hela nyingi kama manzi anavodai, huwez kumkoromea kias hicho na matusi juu, lkn utamjibu tu Kwa busara lakn Hawa wanaigiza tu na Bahati mbaya hawajui kuvaa uhalisia wao vizr shame on them

    1 like

  • mdomo huru's profile picture

    @VictorMsuy67617

    Hila harmonize...

    1 like