20 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Maneno ya Mika Chavala wiki moja baada ya kutoka Jela. Video kwa Comments ๐
547 likes

@EberiManya36327
Asante Sana, tupo pamoja Brother. Mungu akupiganie zaidi uweze kusonga mbele,,,,WATANZANIA wapenda haki tupo na wewe. Mungu wetu ni mkuu sana... Tunakushukuru sana kwa mchango wako kwa Taifa lako. Usione haya wala woga kuipigania Taifa lako.
14 likes

@MsinguziEthan
Kiukweli jamaa ananipa feeling sana juu ua kauli yake anaonekana imara zaidi chivara, VIVA chivara our blood
13 likes

@BahatiKaisari
Wahaini tunapendana maana tuna share common goal
6 likes

@0404_CfC
Jamaa kama vile kaenda kupikwa (wameongeza sumu ndani yake)
5 likes

@Mrisho_K
Anatupigia kelele tu huyu nae
3 likes

@Jak_Uhuru
Mwanasiasa, kavaa na fulana yenye Sura yake... ๐ค๐ค๐ค๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
2 likes

@callmezungu
"WAHAINI TULIOKUWA NAO" ๐๐ผ
2 likes

@NgamiaFifi
Kaka Kama ushawahi ongea neno moja zaidi yako an Mara tatu hali aliyonayo ndugu hapo bila Shaka unaijua
1 like

@MfaumeSuphiani
Next stop, to the Top
1 like

@Karungu__YeYe
๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช

@Tanganyika_mpya
Bora hata wewe kuliko kale kasichana kanakuja na habari za nashuru sami nashukuru samia

@Pollo_Dr
MUNGU amlinde huyu kijana dhidi ya wadada Matapeli

@HappyatHomeLtd
hiv huyu dogo si ndo alikuwa korea huyu

@TheophilWillia1
What a brilliant and courageous young lad!.

@raisethem3
Your an amzing young man we thank God for the opportunity to have prayed for you. God will take you places.

@mangia_dee
wahaini wrnzio tumepokea

@Haki97315654
Mwamba ameshukuru mpaka Kikorea ๐๐ฝ, tupo pamoja mwamba โ๐ฝ

@nyengonzugi
Tumeipokea kwa mikono miwili

@lloyd_willz
๐ซก