Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Out now ❤️🩹
10 Yorum

Daktari Wa Manesi 💉💊3 yıl önce
Mbona Sijasikia ukianza na kukohoa Au Kikohozi kimeshapona? 😀

Gift .M. Massawe🍁3 yıl önce
Ngoma kalii mzee usiache kuvuta bangii

Malkia Nyuki 👑3 yıl önce
@Lighter004 Tunakupenda 🙌

kingpin3 yıl önce
Kama Ndio ivi kaka usiache mpepe.mpepe for everybody.repeat nimeenda mlimani adi nimerudi Ngoma aichoshi

GweMzee3 yıl önce
Unajua sana jamaa sema kwenye kuwaza huwa unaniangusha umedumbukia kwa rasta dube kimawazo

KIRIKUU✏️3 yıl önce
Hit

*KONDE BOY FANS🐘🇹🇿*3 yıl önce
@nyuki_malkia 🐘🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽

SILVA R3 yıl önce
Sasa humu ungemuweka rapper mmoja achanike ingekuwa unyama sana.

De alien3 yıl önce
Kwelii nimeaminii katika wasanii wote waliotokaa wasafii wewe pekee ndioo uliagaaa kwenuu

DITTU, BULIKI NESTORY.3 yıl önce
Concept ya luck dube " it's not Easy "
