Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Oyaa harmonize kimoyoni moyoni anasema wamshike๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

51,783 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

10 Comments

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•2 years ago

Oyaaaa, Sio poa!! Mwakinyo alivyomrukia Harmo!!!๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Video kwa comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•2 years ago

Harmonize kwa maneno๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ati nakubusu Hadharani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Video hii hapa inaendelea

Latto ๐•'s profile picture
Latto ๐•2 years ago

Mwakinyo aelezea kilichotokea

Ausi junior's profile picture
Ausi junior2 years ago

Mwangalieni huyo jamaa aliovaa sweta la njano anamikwara kama yeye ndy anapigana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Joseph peter kioga's profile picture
Joseph peter kioga2 years ago

Nimeangalia hii video sio chini ya mara Tatu nikaja kugundua mgomvi ni mwakinyo alianza kutukana

leo's profile picture
leo2 years ago

Amemuita mchumba afu anajificha nyuma ya mabaunsa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

salsua Boy's profile picture
salsua Boy2 years ago

Mwenye koti lanjano ni mjinga sana๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Mbishi โš–'s profile picture
Mbishi โš–2 years ago

Dah izi content ningine wanaeza toana meno kweli, kisa content

Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)'s profile picture
Yahaya Omary Mpanda (WAKA #WananchiNaKatiba)2 years ago

Haya mabaunsa yenyewe mbona nyanya tu. Mwakinyo ni professional fighter angeyatumbua tumbua yakalazwe hospital.

Johnson Fabian Mwalongo's profile picture
Johnson Fabian Mwalongo2 years ago

Oyaa jana mwenye yellow jacket ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…bongo vipaji vingi sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Related Videos