正在加载视频...

视频加载失败

🎶 Tunaimani na Samia, Oyaa Oyaa Oyaaa 🎶 — Kumekucha Hapa 😂

146,444 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

9 条评论

SATIVA17 的头像
SATIVA172 年前

Usenge kabisa huu. Nimezima tv saizi nipo kijiweni tunaijadili SIMBA.

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 的头像
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿2 年前

Samia tulikuomba atuongezee eneo pale Jangwani ili tujenge uwanja wetu! Hii ni mbinu ya mapambio- hakuna tatizo kwa hili almurad tupate eneo! Na tutaendelea kumsifu hadi tupate uwanja 😅😂😂

Milestone~Otana🇹🇿 的头像
Milestone~Otana🇹🇿2 年前

Huu ni Upumbavu mkubwa sana huu. Taifa linaangamia chini ya mikono ya Samia huku majitu yanaimba eti tunaimani na Samia, mnaimaani Na mtu anauza nchi yenu?. Pumbavu kabisa haya, majitu mazima hovyo!. 😡😡🚮

RasoulHK🍁 的头像
RasoulHK🍁2 年前

Tunaimano na Samio, Oyaa Oyaa Oyaa Kwelo kwelo Kumekucho Hoku 😂

Ahmet Deniz 🇹🇷 的头像
Ahmet Deniz 🇹🇷2 年前

Mnageuza mkutano wa Yanga kuwa wa halmashauri ya Ccm😭😭

Mmbetta Jr 的头像
Mmbetta Jr2 年前

SAMIA mwenyewe akiwa kazini👇🙇🙈🙈

IN GOD WE TRUST 的头像
IN GOD WE TRUST2 年前

@DuniaSlaveDunia Watu wanatamani matimu haya yanajiingiza kwenye siasa siku moja zishuke daraja zipotee mana ni wanafiki na wanarudisha maendeleo ya nchi nyuma Kwa uchawa

Fred M. 的头像
Fred M.2 年前

Sijawai piga kura tangu nizaliwe ila 2025, ntapiga kura kumchangua lisu na nitahakikisha na shawish washikaj zangu Tumchangue lisu. My upcoming President Tundu Antipus Lisu. Kama tuko pamoja like apa.

babu kajembe 的头像
babu kajembe2 年前

Yan saiv ccm kama wamechanganyikiwa mapema sana uchaguz ni mwakan jamani yan unakuta watu wapo kwenye tamasha la michezo lakini wanamuombea kula samia na kumnadi sana wamesahau malengo ya shughuli yao ujinga mwingine mpunguze

相关视频