正在加载视频...
视频加载失败
Oyaa SIR TIVA video hii apa✌️
33,880 次观看 • 9 天前 •via X (Twitter)
8 条评论

Asantee

@Sativa255 Ukimsikiliza MH.pole pole kwa umakini ameongea series nzima mpaka hukumu ya ccm mtandao,yanii kuna vipengele ametaja WENYE ushahidi na watuhumiwa wote na adhabu…alimaliza yoteeee!!!kila mad unavoenda maneno yanatimia 💯

@Sativa255 Mimi binafsi sipo tayari kuwa mjinga. Tena Polepole alitumia lugha laini sana, ambayo haiwezi kueleweka kiurahisi. Hapo kwenye "Wajinga" toa weka neno "Matahira".

@Sativa255 Alafu anakuja mtu huko anatuambia eti ohh Let's love lead mama... kumamake zake yule Mchaga

@Sativa255 Jamaa alikuwa na scrpt ya mchongo wa CCM ya kuwahadaa Wanachadema na Umma kwa ujumla baada ya Uchaguzi.. na ndio kilichotokea na wameshindwa hata kubadili Scrpt yao hata kidogo baada ya balozi kuwaumbua.

@Sativa255 Wosia wa baba

@Sativa255 Wameona imekua ngum wakaanza kupita kwa Mbowe na machawa wake kule CDM bado kuna machawa wengi sana wamepandikizwa mtu hawez fanya uhuni alafu useme sinachuki na ww kwa sababu ulimuua mwanangu acha nikupe pole kwa sababu umefiwa na mwanao hii haiwezekani

@Sativa255
相关视频
Sensitive content
Hapa tuweke hela kaka SIR TIVA
Zack chriss
66,845 次观看 • 1 年前
