Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Hii video imeniliza.😭

37,619 просмотров • 3 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 17

Фото профиля Tonny
Tonny3 месяцев назад

mamilioni wameumizwa sana na huu uonevu na udhalimu uliovuka mipaka ya unyama, ni ushetani, ukifikiria maisha yetu ni mafupi sana, na sote tutarudi mavumbini.

Фото профиля 🇹🇿
🇹🇿3 месяцев назад

Wengi wanalia bila kutoa machozi kwa kina choendelea ila allah atasimamia haki...

Фото профиля Paul Rupia
Paul Rupia3 месяцев назад

Natamani waTanganyika wote tungekuwa na hisia na moyo wa kizalendo na ujasiri kama wa huyu kijana.. tungeshaikomboa nchi yetu kutoka kwa maharamia wa chama cha mauaji na sokwe wao wa kike. #ccmmustgo #churakiziwimustgo

Фото профиля iswahilinews
iswahilinews3 месяцев назад

@agnesSwai2 Lissu ni kiongozi mwenye roho ya kipekee sana.

Фото профиля The Ironman
The Ironman3 месяцев назад

Inaumiza sana imeniliza,moyo unauma sana,Inakuwaje binadamu anageuka kuwa mateso ya binadamu wenzake,maandiko yanasema Kila nafsi itaonja mauti,nani atayekwepa mauti! Una qurantee ipi na Mungu kukwepa maumivu unayosababisha kwa binadamu mwenzio!

Фото профиля Teacher.
Teacher.3 месяцев назад

watu wengi wanampenda sana Lisu uku ground mm ni moja wao

Фото профиля Here I am
Here I am3 месяцев назад

Very touching😳

Фото профиля MdedeClassicTz
MdedeClassicTz3 месяцев назад

Nchi Ngumu hii

Фото профиля Ken Kalidas
Ken Kalidas3 месяцев назад

Oh God!

Фото профиля mzalendo🇹🇿
mzalendo🇹🇿3 месяцев назад

@MuggyMaggy Ungekuwa ni mtu wa ku sarender basi ungeachana na siasa lakini bado unatupigania😭😭😭😭😭😭

Фото профиля Mastermind 🇰🇪🇱🇷
Mastermind 🇰🇪🇱🇷3 месяцев назад

@JumaAbdukarim 😢

Фото профиля Djcashofqueenss
Djcashofqueenss3 месяцев назад

E Mungu ibariki Tanzania

Фото профиля Rejunu Mnyaturu🇹🇿
Rejunu Mnyaturu🇹🇿3 месяцев назад

❤️🙏 Mwenyezi Mungu akutunze huko,,kijana Maombi yako ni zaidi ya sadaka,, Usilie bali jipe moyo,, Ipo siku tutaona na kushuhudia wema Wa MUNGU,,

Фото профиля Msakatonge
Msakatonge3 месяцев назад

So sad 😭💔

Фото профиля Fischer 🇩🇪
Fischer 🇩🇪3 месяцев назад

So emotional

Фото профиля fatma Bukuku
fatma Bukuku3 месяцев назад

Haya ndio mapenzi ya kweli 😭😭😭😭

Фото профиля Thadei Mhabuka
Thadei Mhabuka3 месяцев назад

Dahaaa

Похожие видео