Loading video...
Video Failed to Load
Peleka moto๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
40,386 views โข 2 months ago โขvia X (Twitter)
23 Comments

Msigwa kaniongeza hasira kila siku nitatuma 5k

Mungu akubariki

Unaakili timamu unapenda maendeleo ya Watanzani unapenda Nchi yako kwa nn usichangie Chadema changia chadema kwa maendeleo ya afya Nchi yako na ww mwenyewe ukombozi unakuja

Mungu akubariki

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Lissu anawajua in and out

Peleka moto, peleka moto.

Msimpelekee moto see msigwa ๐๐๐

Hata msigwa anatakiwa kuchangia

@MsigwaGerson unatakiwa kuchangia hii tone to tone, watoto na wajukuu zako wanatakiwa kushuhudia Tanganyika ikipata uhuru kwa mara nyingine tena.

Msigwa mapesa ya serikali yanafujwa matrilioni kwa matrilioni hasemi hiyo wala hatoi ufafanuzi , analia na tone tone ya chadema..endaefo!!

Ila @MsigwaGerson hivi ujatuelewa sisi vijana sisi ni visiki vya mpingo hatuskiii shoka wala bunduki wala panga sisi ndo vijana waa sasa ujinga wenu wa kipindi cha 1945 msilete now sisi vijana hatuishi kwa historia tunaishi kwa ya sasa sio yalio pita au yajayo hapa hapa

We peleka moto, mamae

Changia Chama ndugu yangu usisikilize waongo.

๐๐

๐๐ peleka moto haswa

Umetuma kikamilifu TSh 1,000 kwenda kwa Vodacom CHADEMA DEMOKRASIA HQ-255744446969. Jumla ya makato TSh 45, VAT TSh 7. Namba ya muamala: 26187356131039. Risiti: 503-DGN241VYU7. 23/07/26 18:19. Kila Muamala ni Bao la Ushindi!

Mungu akubariki

๐ฅ

Dawa imewaingia, kwani hizo fedha wanatoa wapi? Kama hawajishuhulishi na shughuli za uchumi, ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ unawapulizaa

Hadi wanatupangia matumizi ya hela zetu tuzifanyie nini๐

๐๐๐peleka moto

๐คฃ๐คฃ

Bado mpka umeze treni mchongoko Wacha tuchange kwanza
