正在加载视频...

视频加载失败

Peleka moto😂🔥🔥🔥🔥

40,386 次观看 • 2 个月前 •via X (Twitter)

23 条评论

Athuman Charles 的头像
Athuman Charles2 个月前

Msigwa kaniongeza hasira kila siku nitatuma 5k

Hilda Newton 的头像
Hilda Newton2 个月前

Mungu akubariki

🔨🔨KIPEPE RUNGU⚒️👊🔨🔨 👊 的头像
🔨🔨KIPEPE RUNGU⚒️👊🔨🔨 👊2 个月前

Unaakili timamu unapenda maendeleo ya Watanzani unapenda Nchi yako kwa nn usichangie Chadema changia chadema kwa maendeleo ya afya Nchi yako na ww mwenyewe ukombozi unakuja

Hilda Newton 的头像
Hilda Newton2 个月前

Mungu akubariki

TanganyikaTimes 的头像
TanganyikaTimes2 个月前

🤣🤣🤣🤣🤣 Lissu anawajua in and out

Eberi Manya 的头像
Eberi Manya2 个月前

Peleka moto, peleka moto.

Magoso 的头像
Magoso2 个月前

Msimpelekee moto see msigwa 😂😂😂

Kamese@ryyco 的头像
Kamese@ryyco2 个月前

Hata msigwa anatakiwa kuchangia

Mr. Lunguya F 的头像
Mr. Lunguya F2 个月前

@MsigwaGerson unatakiwa kuchangia hii tone to tone, watoto na wajukuu zako wanatakiwa kushuhudia Tanganyika ikipata uhuru kwa mara nyingine tena.

R.awai 的头像
R.awai2 个月前

Msigwa mapesa ya serikali yanafujwa matrilioni kwa matrilioni hasemi hiyo wala hatoi ufafanuzi , analia na tone tone ya chadema..endaefo!!

erephato 的头像
erephato2 个月前

Ila @MsigwaGerson hivi ujatuelewa sisi vijana sisi ni visiki vya mpingo hatuskiii shoka wala bunduki wala panga sisi ndo vijana waa sasa ujinga wenu wa kipindi cha 1945 msilete now sisi vijana hatuishi kwa historia tunaishi kwa ya sasa sio yalio pita au yajayo hapa hapa

Hustler 的头像
Hustler2 个月前

We peleka moto, mamae

Used General Stores 的头像
Used General Stores2 个月前

Changia Chama ndugu yangu usisikilize waongo.

Mastermind 🇰🇪🇱🇷 的头像
Mastermind 🇰🇪🇱🇷2 个月前

😂😂

Delotive Gee 的头像
Delotive Gee2 个月前

😂😂 peleka moto haswa

TEMBA 的头像
TEMBA2 个月前

Umetuma kikamilifu TSh 1,000 kwenda kwa Vodacom CHADEMA DEMOKRASIA HQ-255744446969. Jumla ya makato TSh 45, VAT TSh 7. Namba ya muamala: 26187356131039. Risiti: 503-DGN241VYU7. 23/07/26 18:19. Kila Muamala ni Bao la Ushindi!

Hilda Newton 的头像
Hilda Newton2 个月前

Mungu akubariki

jofrey dagno 的头像
jofrey dagno2 个月前

💥

Johnson business 的头像
Johnson business2 个月前

Dawa imewaingia, kwani hizo fedha wanatoa wapi? Kama hawajishuhulishi na shughuli za uchumi, 🔥🔥🔥🔥 unawapulizaa

H K M 🇹🇿🙏🕊 的头像
H K M 🇹🇿🙏🕊2 个月前

Hadi wanatupangia matumizi ya hela zetu tuzifanyie nini😂

Fichua Hub 的头像
Fichua Hub2 个月前

😂😂😂peleka moto

Swahili 25 🇹🇿 的头像
Swahili 25 🇹🇿2 个月前

🤣🤣

Walter Mathayo 的头像
Walter Mathayo2 个月前

Bado mpka umeze treni mchongoko Wacha tuchange kwanza

相关视频