Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
People are going through a lot in that thing called Marej 🤣🤣
40,773 Aufrufe • vor 1 Monat •via X (Twitter)
32 Kommentare

Hii niya kilimani,mimi heri unidunge kisu Kwa kitanda nilinunua,bedsitter,single room hakuna kiti

Kuna masiku utakaa kwa gari kama huyu jamaa 😂😂

Kuna siku utaangalia mwenzako and feel disgusted about them.Jioni saa ya kurudi kwa nyumba una kasirika tu.

This is part of brainwashing. Beta/weak men raise weak men. Understand the intersexual dynamics.

kuna siku chai itataste mwarubaine 😂

Kuna siku, Utangongewa!

Kuna siku nililala Kwa gari nikaenda asubuhi kujipikia chai....

Kuna siku utaangalia mwenye ulimuoa ukashangaa what changed?

Why shouldn't it NOT be a scam? Why celebrate it? Why?!

Kuna siku utajitafutia makosa aende lakini atakusamehea na abaki aseme we shall oray about it

Kuna siku utenda kutafuta nyumba na urudi kwako…

Kuna siku utanunua chakula na hutaikula

Kuna siku hutaki kuenda nyumbani nani kwako

Kuna siku utafika karibu na kwako ukasirike zaidi urudi ulale nje.

In my house? That's why wengine wetu hio upuzi ya ndoa tumekataa

I had to leave..I couldn't take it anymore. Sometimes we are blinded by words like "it shall be okay". The day it took me close to 14days and niko na mtu kwa nyumba na hatuonani, nilihama nikaenda kwa bedsitter polepole to find some peace ✌️. Its now 2 weeks and life is moving on

Kuna siku utanyimwa kinembe

Kuna siku utaMUNCHiwa bibi 😭😭😭😭😭😭

Kuna siku utanyimwa

Kuna siku utagongewa🥹🥹

bullshit...I have never ever seen my dad sleep on the couch, ever !!

@JonesMbevi hii ni kweli

Kuna siku utagongewa

🤣🤣

Na kuna siku kama a man utatoka kwa nyumba na nguo zile umevaa na hautawai rudi kwako

Kuna siku utatoka and never look back.. juu hiyo uchawi ni serious.

Kuna siku bibi ataamka kama avimba uso kama bibi Y msee mwgne apo

Kuna siku mtoto atalalishwa katikati

men is simple live by your self you dont need to marry or be with a woman

Kuna siku itakuwa umejam but watoi ndio watakubamba Hadi utachange mind uvumilie ujinga

Kuna siku utalia machoss bila wewe kutaka😂😂😂

I want to marry a male friend not a husband because men hate women.
