正在加载视频...

视频加载失败

Perfect. From Mr President

57,216 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

30 条评论

Hamenya Syanya 的头像
Hamenya Syanya1 年前

#NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Henry Malilah 的头像
Henry Malilah1 年前

Binafsi naomba muwe pamoja katika mapambano ya no reforms no elections, kitendo Cha rais wa tls kumnadi bwana switbert chars inakatisha tamaa maana yeye cku zote anacmama kutangaza reforms anatupa shida anapomnad mgombea wakati Bado reforms hatujapewa enewei.

chalocasmili 的头像
chalocasmili1 年前

Mzeee hajawai pepesa machoo kanyokaaa

TELAPATHIST 的头像
TELAPATHIST1 年前

Juzi umememe ulikatika bar moja hapa dar, wakanunua kumbe luku ilikuwa imeisha, ulipowaka mlevi mmoja aliskika akisema "owoooh ughmme ghuumeruadee naambien kherasiko mama yukho khgazini yaan hakhoona kukhaah gezane, metraano trenaa! Watu, kifuti, ngwara, kerebu konzi maaninaah

The Ironman 的头像
The Ironman1 年前

SERIKALI ikitoa fedha inasemekana mama katoa fedha lakini serikali ikidai deni linakuwa la Taifa,kwanini Sasa deni Hilo lisijulikane rasmi kuwa #DENI_LA_MAMA!

Kisabo Junior 的头像
Kisabo Junior1 年前

Salute Salute Salute Salute Salute Salute ×1000

Fanuel Arsene 的头像
Fanuel Arsene1 年前

Amempigia kampeni Nkuba aende akawe mbunge kahama …uyu hayuko upande wetu asee …NRNE inamuhusu vp Mwabukusi ?? Atulie sehemu moja basi

People's power. 的头像
People's power.1 年前

Yan mmeshindwa kusoma upepo kabisa uyo ameshaanza kupiga kampeni. No reform no election imebaki ya wanaharakati tu. Cha ajabu wanaoombwa kuleta reform ni wale wanaotukanwa

Ectory Komba 的头像
Ectory Komba1 年前

Absolutely true!

James 的头像
James1 年前

Mfano: chukua ndoo tupu mbili ,jaza maji safi ya kunywa ...Moja mwekee ngombe anywe maji Na ya pili mwekee mbwa anywe maji maji yalio bakia mwaga tenachukua ndo hizo jaza maji mengine lebo kuonesha majina ya waliozitumia Waite watu wanywe maji Watakimbilia ndoo ya ngombe

WG. 的头像
WG.1 年前

Kweli kabisa. Mama mama mama. Kakuzaaaa!

win is win 的头像
win is win1 年前

Lina mvii mpaka mgongoni ungewachana. Ziko adi mkundule🤣🤣🤣

Petro Ruben,MD. 🩺 的头像
Petro Ruben,MD. 🩺1 年前

Amen

zoomIn 的头像
zoomIn1 年前

Akemewe na akataliwe

The Real Infidel. 的头像
The Real Infidel.1 年前

Yani ni Kama Nyumba Haina Mwenyewe hiviii. Ila Polepole.

MIZUMO 的头像
MIZUMO1 年前

🤣🤣🤣🤣 Mnachekesha sana nyie watu

mobappdev 的头像
mobappdev1 年前

@zack

GMUSHI 的头像
GMUSHI1 年前

simply a perfect word more than perfect cz we praised somebody mpkaaa...🤣💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿👋🏿👋🏿👋🏿

MLK, jr. 的头像
MLK, jr.1 年前

@freddie_monte #NoReformsNoElections

🌴Brave J. K 的头像
🌴Brave J. K1 年前

Jitu zima lenye mvi mpaka mgongoni😂😂😂. I see someone😆

James 的头像
James1 年前

Tukibadilisha jina la kuita vyama kutoka upinzani kuwa shindani Tutaondoa tatizo Upinzani maana yake kinyume Cha mwengine! Mshindani sio kinyume Cha ubaya ,

Japhet Chawangula 的头像
Japhet Chawangula1 年前

Facts

Mzee wa Mbinde 的头像
Mzee wa Mbinde1 年前

Jitu Lina mvi mpka mgongoni

Haji Salim Omari 的头像
Haji Salim Omari1 年前

Sasa mbona kama ana wivu hivi

Elia Mbise 的头像
Elia Mbise1 年前

Shida ndugu etu Hana msimamo I

Mr.comp 的头像
Mr.comp1 年前

Sad truth

𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 的头像
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿1 年前

😁😁😁

Alex Stanley 的头像
Alex Stanley1 年前

😂😂😂 mvi mpaka mgongoni

Nderumaki@gmail.com 的头像

Nimecheka sana jitu zima linanvi mpaka mgongoni,

LifEOfDaNiEL✝️ 的头像
LifEOfDaNiEL✝️1 年前

@Sailanga_J can you download?

相关视频