Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Piga mwizi meniiii
27,517 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
18 Kommentare

Huyo aliekuwa anamkimbiza moloko aliteseka kidogo alie

Credit sana kwa Captain Bakari, angetamani hata ajaribu mwenyewe ila akatoa pasi

Tena ua kabisaa. 💚💛💚💚💛💛🔥🔥

Mwamnyeto hii assist kaipiga kiufundi sana maana kipa alijua anafunga yeye

@Okleth7ergo Yesu hata hakuwa na tamaa💪

Huyu mwamba alikua anakimbia kama haendi😂😂😂

Wananchi wamekuza Mwizi na kapatikana

Ile river au riverside

Watu wakimbia kama viberenge

Hapa Capt Beka kakimbia as if yy ni midfielder His runs added something in this counter ukiachana na assist

Kumbe kutetema ni kiarabu na mko kimya...😂😂😂😂

😂

watu hawaamin kama huyu aliyepiga assist ni mwamnyeto 😀😀 #piga haoo

🤣🤣🤣

😂😂

Bro @lifeofmshaba kumbe ww ni utoo🤦🤦🤦🤦

Blue tiki iko wapi mzee 😂

Kiisraeli nini
Ähnliche Videos
Sensitive content
😂💔 mwizi alitamani mwendokasi ipasuke atoke 🔥
Kev.
230,559 Aufrufe • vor 2 Jahren
