正在加载视频...
视频加载失败
Pre-Domination Reminder 6⚠️🔥🔥🔥🔥 . . #255totheworld🇹🇿🇹🇿 #IGWE #Loading...
16,033 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

ZH2 年前
Kwa hizi punch ukiwa rapper fake unaeza omba uache hiphop Unaeza omba ukaimbe singeli

benkiko2 年前
Af dababy kazaliwa state comrade umeangukia huku uswekenia, kuna vtu haviko fair kabsaa 🙌🙌🙌🔥🔥🔥

AMIRI2 年前
"Tell your so called rap god he just lost a believer" Marshall Mathers au tumngoje mwingine 😀

nyambuda victor2 年前
inafaa tuanze upya ktk kufikisha muzk wa bongo kwa wasikilizaji wetu, labda tuongeze matamasha, tujifunze kutengeneza maudhui yatakayo pendwa na wabongo, sijui nani tukae nae chini walau tuanze kwa kuongea, ww ni mkali lkn haupo kt ya masikio ya wengi

Classymusictz2 年前
Moja na rappers hatari Tanzania kwa sasa, noma sana mwamba

enock2 年前
Bro emb pumzika bc, 😡

Ulimwengu🇦🇷2 年前
@HamisUniversal 🍀

devil's friend2 年前
Kula manondo #IGWE

Geoffrey Lea2 年前
💯🛠️

Ormeeki🇹🇿2 年前
💥
