Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Press nzima inaongelea #Accountability
20,472 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Mzee Butiku anapiga kwenye mshono

Kabisa teacher mzee kanyooka sana. Mbona panya road hukamatwa within a seconds tu? Mbona akina nyundo walidakwa chap ? Chaula haKumaliza hata 24 hours alidakwa Kwanini WATEKAJI HAWAPATIKANI KIRAHISI? INAFIRISHA NA INAUMIZA KUONA MAJIZI YALA RUSHWA NA WATEKAJI HAWAJULIKANI 🚮

Mzee butiku husema kweli nyakati zote

you deserve a break, check this out

Mzee hanaga Kona Kona hata waandishi kawapa vidonge vyao ,ukifika uchaguzi wanachukua RUSHWA

Au # tuiweke kwa Kiswahili Mwalimu? #UWAJIBIKAJI

Vijana tumegeka nachawa Wazee ambao hawataishi sana ndio wapo mbele kizungumzia sustainable development and accountability kwa viongozi wetu.

Fact

#Accountability

Napenda watu wakweli kama hawa.

Asante mzee Butiku huna baya,umetimiza wajibu,Mungu akupe kheri,na akufiche wasikuone manake hawana dogo wale!


