Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Press ya M/kiti John Heche leo.
21,633 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

@HecheJohn Huwez amini kama walimkamata Jana 😂 Leo chuma kinanguruma upya wakae kwa kutulia na ikitokea wamemwachia tundu lissu 🔥🔥🔥🔥

- All I Knew

@HecheJohn Hii speech 🔥🔥

@HecheJohn @HecheJohn unatema sumu za rift valley umesimamia haki na usawa ubarikiwe sana

@HecheJohn kwamba iwe kama conclave 😂 hakuna simu kwani tunamchagua papa😂😂. ila tuna tume ya hovyo sana. bado najiuliza aliyesain atafuatiliaje mawakala wake bila simu labda yule bwana wa mizimu tu ndo atafaulu hilo.

@HecheJohn Muraaa amenyoosha kila kitu🔥🔥

@HecheJohn Heche Rasilimali

@HecheJohn No reform No election

@HecheJohn Mwamba ana uwezi sana uyuu

@HecheJohn Miladi ya ayo sion kipaza saut🤣🤣

@HecheJohn Angeishia tu hapo kwenye talime na bunda. 🤣🤣🤣🤣
