Video yรผkleniyor...
Video Yรผklenemedi
Qmmmmke๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
87,047 gรถrรผntรผleme โข 1 yฤฑl รถnce โขvia X (Twitter)
11 Yorum

Kuna haja ya serikali kufundisha watu hii skills ya kuchapa. Huwezi mchapa mtu anachanganyinyikiwa hajui akimbie au akusogelee wote tujue kwamba Kuna wengine kwenye ugomvi huwa wanaitandika sio fair. Kama wamasai wanafundishwa tufundishwe wote

๐๐๐๐๐๐๐๐

Ukiona masai kagombana ujue kachokozwa tena saaana.

Ila tukirudi kwenye ukweli, hawa wamasai kutembea na hizi silaha wanahatarisha usalama wa watu wengine, just imagine umepishana nae kauli katika hali ya kujibizana then akachomoa hiyo sime, msiba tunao hatuna? Najua watu wa utamaduni mtakuja kuwatetea hapa

Hizo fimbo za wamasai huwa special hazi vunjiki sema masai wameona amemchosha kumchapa ameona atumie sime kuokoa muda tu hataki ujinga ๐๐

Anakuchapa na fimbo, akiona adabu haijaingia anatoa rungu, akiona somo halijaeleweka anatoa sime. Jamaa ana bahati stage ya rungu ndiyo ilikuwa inafuata. Unachapwa na silaha inayolingana na kiwango chako cha madharau ๐

Yero alikuwa na backup ya rungu pia๐jamaa amekula za kichwa Kila akimsogelea anasukumwa nyuma aendelee kupokea dozi

Kala mikwaju ya maana dadeq๐๐๐

๐ช Merica, we're taking it back. ๐ฏ You like Trump, you know it, time to show it. โ T's for Trump here:

Hapo mwili wote wamoto. Jioni akiwa anaoga ndio ataelewa kwanini maasai navaa shuka.

Apo kwenye sime ndo pangekua patamu bora wamemuwahi ๐๐
Benzer Videolar
Sensitive content
เนเธเธกเธชเนเธกเธฑเธเนเธซเธกเธทเธญเธเนเธเนเนเธชเธตเธขเธเนเธเธซเธฑเธงเธญเนเธฐ เธเธฐเธฅเนเธฒเนเนเธเน๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ JAMESSU WITH PLANTNERY #PlantneryXDomundi #PlantneryGojiKojiBright ๐ #JamesSu ๐๐ธ JS แกฃ๐ญฉโข๏ฝก๊ชเงห
เนเธญเธดเธเนเธญเธดเธ ๐ฏ๐ซง
44,928 gรถrรผntรผleme โข 9 ay รถnce
Sensitive content
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Credit: iam_popularyzee on IG
รgbร John Doe
60,277 gรถrรผntรผleme โข 5 ay รถnce
