Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Ramadan ya 5 Afande Sele hajafa.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

181,187 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von BLACK SIZHO๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
BLACK SIZHO๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉvor 1 Jahr

Mziki unaho ishi

Profilbild von Elise Oyin
Elise Oyinvor 1 Jahr

All in Christ Jesus for all ages, every f sec each using sap on eaic decree with their living spirits, souls, faiths, wills, efs that DAVID & FAITH OYEDEPO N ALL OF WINNER'S CHAPEL NEVER EAT FROM THE TREE OF LIFE THROUGH Elise Oyinkromeineifa, HER BABIES

Profilbild von El Chapo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
El Chapo๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Jahr

Dini hizi...ni tatizo. Na laiti huyo mungu anayeombwa angekuwa anajibu Kwa matakwa ya waombaji ningeshangaa sana. Binafsi nashukuru sana Yehova, kwani Yeye anajibu Kwa namna yake na Kwa wakati wake.

Profilbild von Professor Jamvileo
Professor Jamvileovor 1 Jahr

Mungu angejibu kama mapenzi ya watu hakuna mtu angekuwa na nafasi ya kuishi ๐Ÿ˜‚

Profilbild von Evans D Mussa๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ฆ
Evans D Mussa๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ฆvor 1 Jahr

Tatizo dua ilielekezwa kwa mtu asiye sahihi.Jamaa haitwi Afande Sele

Profilbild von ๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎvor 1 Jahr

Sheikh Bado anajua Mungu ni Athumani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von BabuPara_๐•
BabuPara_๐•vor 1 Jahr

oyaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jamaa anapeta na wala hajawahi umwa hata maralia wala kupata hata kichefuchefu au homa yeyote ile kmmk๐Ÿ’”๐Ÿ’”

Profilbild von Mtogole.. Jr
Mtogole.. Jrvor 1 Jahr

Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumuombea kifo binadamu mwenzie ata kama ana dharau Imani ya dini yako na mungu akajibu maombi Yako kama unavyotaka wewe Shida ya waislamu + wasabato wanapenda kujiona wao ndio watakatifu mbele ya mungu ( ULEVI WA DINI) TUBADILIKE. โœŠ๐Ÿป

Profilbild von Hamis A. Mponzi
Hamis A. Mponzivor 1 Jahr

DINI zipo kwa ajili yakuhukumu sio kumsaidia mdhambi na mkosefu kumrejea Muumba ,

Profilbild von IbizaSavimbi
IbizaSavimbivor 1 Jahr

Aliye ombewa KIFO ni Afande Sele na uyo Kwa picha na aliye hai hata leo ramadhani ya 5 ni Selemani Msindi ๐Ÿ˜‚

ร„hnliche Videos

Sheikh ana bifu na Afande sele nini??
1:23

Sensitive content

Sheikh ana bifu na Afande sele nini??

mwaisa_mtumbad

79,736 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Patrobas Katambi, amempa onyo msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele, baada ya msanii huyo kujirekodi video na kutoa maoni kuhusu hatua ya Waziri kuwaita watu mbalimbali mashuhuri kwa ajili ya kikao maalumu. Afande Sele alizungumzia pia suala la msanii mwenzake, Dudu Baya, ambaye amekuwa sehemu ya mjadala huo kufuatia wito wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Katika video hiyo, Afande Sele alihoji uamuzi wa Waziri Katambi kumuita Dudu Baya katika kikao hicho, akisema haikuwa sahihi kumuweka msanii huyo katika kundi moja na watu wanaohusishwa na tuhuma za mapenzi ya jinsia moja. Afande Sele alieleza kuwa Dudu Baya amekuwa akijulikana kwa msimamo wake wa kupinga vitendo vya ushoga, hivyo akahoji sababu za kuitwa kwake na kukaa katika mazingira aliyodai yanahusisha watu wenye tuhuma hizo. Akijibu kauli hiyo, Waziri Katambi amemuonya Afande Sele kuhusiana na video hiyo, akisisitiza kuwa suala linaloshughulikiwa na Wizara si jambo la kufanyiwa mzaha. Waziri huyo ameendelea kusisitiza mamlaka ya Serikali katika kuchukua hatua pale inapobidi, huku akiwataka watu wanaoitwa na Wizara kuzingatia wito huo na kutoa ushirikiano unaohitajika badala ya kugeuza suala hilo kuwa mjadala wa mitandaoni. Mzozo huo sasa umeongeza sura mpya katika mjadala unaoendelea kuhusu wito wa Serikali kwa watu mashuhuri, huku kauli ya Afande Sele ikionekana kuibua swali kuhusu namna watu hao wanavyowekwa katika makundi na sababu za kuitwa kwao. Wakati huo huo, onyo la Waziri Katambi limeweka wazi kuwa Serikali haikusudii kulichukulia suala hilo kwa mzaha, na kwamba wale wanaohusika wanapaswa kufuata taratibu na maelekezo yanayotolewa na mamlaka husika.

Royal Media

18,615 Aufrufe โ€ข vor 27 Tagen