Sensitive content

This media may contain sensitive content.

正在加载视频...

视频加载失败

Sheikh ana bifu na Afande sele nini??

79,736 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

zealous💪 的头像
zealous💪1 年前

Kwenye kanauni mojawapo ya kufikisha ujumbe kwa waumini usitoe madhaifu ya mtu hadharani ambae yupo, labda unaweza kutumia visa vya watu wa kale/zamani vinavyokubalika kwenye mafundisho ya Dini husika. Wanaomuandaa dogo kuna misingi wanakosea.

So.Gay 的头像
So.Gay2 年前

These party pics are so hot 🔥🔥🔥🔥

Issa Mwankina 的头像
Issa Mwankina1 年前

Umri huu mzazi wake angeliwekeza zaid kwenye mambo muhimu ktk maisha ya mtoto hususani kujifunza mambo kama technology, hesabu na ubunifu mbali mbali. Kwa maana Kelele za vitabuni hazito mletea chakula labda kama anafunzwa kuwa ombaomba mtarajiwa. Kemea mafunzo hovyo na kumtengeneza mtoto kuwa sehemu ya wenye chuki. Hapo hakuna mafunzo

Cadillac 的头像
Cadillac1 年前

Wanaomlisha maneno uyu mtoto ni wasenge na huo ndo ukwelii, Kwenye Iman hupaswi kufundisha ukimtolea mfano Moja kwa moja au kumshutumu mtu ila wangetumia hadithi au visa vya kale, dogo aliekumezesha hayo qumanyoko zenu

Zawadi Samsoni 的头像
Zawadi Samsoni1 年前

Huyu mtoto akiletewa bangi mkononi anaweza itambua kweli? Kwahuo umri wake,? Wanao mfundisha huyu mtoto wanakosea wao ndio walitakiwa wakae wamzungumzie afande sele sio huyu mtoto mdgo asie ifahamu dunia ipoje, changamoto na mikasa ya dunia ilivo

Walaga 的头像
Walaga1 年前

Kamegonga hesabu gani kwanza According to him bangi inakata kichwani baada ya siku 40, afande Kavuta within 20 years Yaan 40 days mara 20 years ndiyo iwe 800 years 🚮🚮

moh'd 的头像
moh'd1 年前

Natamani kuona afande sele anamjibu uyu mtoto ambae ,hata robo ya ya duniani hajayajua , hajui shida ,hajakutana na usaliti ,ajui maana ya nyege na ajakutana na wanawake wa dunia hii ,muda utamuelewesha

Ray Asel 的头像
Ray Asel1 年前

Huyu mtoto ni msenge akikua ataacha

theophiltz 的头像
theophiltz1 年前

jamaa wamefanya kosa sana kumlisha huyu mtoto haya maneno kutamka kweny media, huyu bado hajui ata dini ililetwa na meli maisha yake bado ana mengi ya kujifunza katika uvutaji bangi wa afande na huo utakatifu anaouona wa kishk na mitume wengine.

MAGUFULI 2.0 的头像
MAGUFULI 2.01 年前

Hawa ndo wakikua wakipewa panga wakate kafiri ni chaap

MBARAKA CHANDE 的头像
MBARAKA CHANDE1 年前

Comment za humu zina determaine wagonjwa w miaka 800💔

相关视频