Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Ramadan ya 5 Afande Sele hajafa.😂😂

181,187 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля BLACK SIZHO🇨🇩
BLACK SIZHO🇨🇩1 год назад

Mziki unaho ishi

Фото профиля Elise Oyin
Elise Oyin1 год назад

All in Christ Jesus for all ages, every f sec each using sap on eaic decree with their living spirits, souls, faiths, wills, efs that DAVID & FAITH OYEDEPO N ALL OF WINNER'S CHAPEL NEVER EAT FROM THE TREE OF LIFE THROUGH Elise Oyinkromeineifa, HER BABIES

Фото профиля El Chapo🇹🇿
El Chapo🇹🇿1 год назад

Dini hizi...ni tatizo. Na laiti huyo mungu anayeombwa angekuwa anajibu Kwa matakwa ya waombaji ningeshangaa sana. Binafsi nashukuru sana Yehova, kwani Yeye anajibu Kwa namna yake na Kwa wakati wake.

Фото профиля Professor Jamvileo
Professor Jamvileo1 год назад

Mungu angejibu kama mapenzi ya watu hakuna mtu angekuwa na nafasi ya kuishi 😂

Фото профиля Evans D Mussa🇻🇦
Evans D Mussa🇻🇦1 год назад

Tatizo dua ilielekezwa kwa mtu asiye sahihi.Jamaa haitwi Afande Sele

Фото профиля 𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗠𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗗𝗮𝘄𝗮
𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗠𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗗𝗮𝘄𝗮1 год назад

Sheikh Bado anajua Mungu ni Athumani 😂😂

Фото профиля BabuPara_𝕏
BabuPara_𝕏1 год назад

oyaaa😂😂😂 jamaa anapeta na wala hajawahi umwa hata maralia wala kupata hata kichefuchefu au homa yeyote ile kmmk💔💔

Фото профиля Mtogole.. Jr
Mtogole.. Jr1 год назад

Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumuombea kifo binadamu mwenzie ata kama ana dharau Imani ya dini yako na mungu akajibu maombi Yako kama unavyotaka wewe Shida ya waislamu + wasabato wanapenda kujiona wao ndio watakatifu mbele ya mungu ( ULEVI WA DINI) TUBADILIKE. ✊🏻

Фото профиля Hamis A. Mponzi
Hamis A. Mponzi1 год назад

DINI zipo kwa ajili yakuhukumu sio kumsaidia mdhambi na mkosefu kumrejea Muumba ,

Фото профиля IbizaSavimbi
IbizaSavimbi1 год назад

Aliye ombewa KIFO ni Afande Sele na uyo Kwa picha na aliye hai hata leo ramadhani ya 5 ni Selemani Msindi 😂

Похожие видео

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Patrobas Katambi, amempa onyo msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele, baada ya msanii huyo kujirekodi video na kutoa maoni kuhusu hatua ya Waziri kuwaita watu mbalimbali mashuhuri kwa ajili ya kikao maalumu. Afande Sele alizungumzia pia suala la msanii mwenzake, Dudu Baya, ambaye amekuwa sehemu ya mjadala huo kufuatia wito wa Wizara ya Mambo ya Ndani. Katika video hiyo, Afande Sele alihoji uamuzi wa Waziri Katambi kumuita Dudu Baya katika kikao hicho, akisema haikuwa sahihi kumuweka msanii huyo katika kundi moja na watu wanaohusishwa na tuhuma za mapenzi ya jinsia moja. Afande Sele alieleza kuwa Dudu Baya amekuwa akijulikana kwa msimamo wake wa kupinga vitendo vya ushoga, hivyo akahoji sababu za kuitwa kwake na kukaa katika mazingira aliyodai yanahusisha watu wenye tuhuma hizo. Akijibu kauli hiyo, Waziri Katambi amemuonya Afande Sele kuhusiana na video hiyo, akisisitiza kuwa suala linaloshughulikiwa na Wizara si jambo la kufanyiwa mzaha. Waziri huyo ameendelea kusisitiza mamlaka ya Serikali katika kuchukua hatua pale inapobidi, huku akiwataka watu wanaoitwa na Wizara kuzingatia wito huo na kutoa ushirikiano unaohitajika badala ya kugeuza suala hilo kuwa mjadala wa mitandaoni. Mzozo huo sasa umeongeza sura mpya katika mjadala unaoendelea kuhusu wito wa Serikali kwa watu mashuhuri, huku kauli ya Afande Sele ikionekana kuibua swali kuhusu namna watu hao wanavyowekwa katika makundi na sababu za kuitwa kwao. Wakati huo huo, onyo la Waziri Katambi limeweka wazi kuwa Serikali haikusudii kulichukulia suala hilo kwa mzaha, na kwamba wale wanaohusika wanapaswa kufuata taratibu na maelekezo yanayotolewa na mamlaka husika.

Royal Media

18,615 просмотров • 27 дней назад