Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Ruvuma ya Mama ❤️

131,586 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)

15 Yorum

Mtanganyika OG 💯 profil fotoğrafı
Mtanganyika OG 💯2 yıl önce

Mama muuaji

Mtanganyika OG 💯 profil fotoğrafı
Mtanganyika OG 💯2 yıl önce

Mama mtekaji na muuaji

idd Mbelele profil fotoğrafı
idd Mbelele2 yıl önce

Kichaa Sio lazma kuokota makopo

alen kelvin profil fotoğrafı
alen kelvin2 yıl önce

@Aduiwayanga Kwani wana Ruvuma wenyewe wanasemaje..?

idd saloum profil fotoğrafı
idd saloum2 yıl önce

Mmh nanemwe

Augustino Amosi mlewa profil fotoğrafı
Augustino Amosi mlewa2 yıl önce

chawa

Noza profil fotoğrafı
Noza2 yıl önce

Leo ndo agenda kuu maandamano sio

Oscarmiky profil fotoğrafı
Oscarmiky2 yıl önce

😂😂😂😂

Mwanañchi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 profil fotoğrafı
Mwanañchi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿2 yıl önce

Karibu sana mama

mr Black_Tz profil fotoğrafı
mr Black_Tz2 yıl önce

bc.. somtym mgema akisifiwa sana asali hutia maji… amkeni

WISHTRONIX profil fotoğrafı
WISHTRONIX2 yıl önce

🚨🚨NEW SHIPMENT 🚨🚨 ♨️IPHONE ♨️SAMSUNG ♨️GOOGLE PIXEL ♨️REDMI ♨️AQUOS & ALL FUJITSU(under docomo) ♨️REDMI ♨️HUAWEI ♨️LAPTOP (Dell,Hp etc..) PRICE UPDATE SOON USIKAE MBALI NA SISI🚨🚨 ☎️📞0623387403 ☎️📞0620494119

ismaila bah profil fotoğrafı
ismaila bah2 yıl önce

Bonsoir Mme la présidente bravo j'ai aimé votre discours concernant les mals que la France entrain de faire aux pays africain si tout chefs d états africain voyais comme vous.maintenant il faut que les chefs africain ce lève pour défendre Afrique merci

mngoni mmoja profil fotoğrafı
mngoni mmoja2 yıl önce

@SuluhuSamia bwelai kuni mau malombi gavili ga maele kweli karibu sana Ruvuma

Amidu Umbara profil fotoğrafı
Amidu Umbara2 yıl önce

Ruvuma ya mama ? 🤣🤣 ,kumbee ni ya Samia ?

The Manywele profil fotoğrafı
The Manywele2 yıl önce

Karibu sana Ruvuma Mama Samia Suluhu

Benzer Videolar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Ndugu Oddo Mwisho, amesema CCM haijakurupuka kufanya maamuzi ya kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, na kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, hana mgogoro na Dkt. Nchimbi. Amesema mwanachama yeyote anayekiuka taratibu za chama, chama kina uwezo wa kuchukua hatua dhidi yake bila kujali nafasi yake. Akizungumza na wananchi wa kata za Langiro, Kipapa na Maguu zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama tarehe 31/8/2026, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma, Ndugu Oddo Mwisho, amesema Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ni mwana wa Ruvuma na ni ndugu yao. Amesema Mkoa wa Ruvuma ulikuwa unamtegemea kutokana na nafasi aliyokuwa nayo ya Makamu wa Rais, lakini amewaangusha wananchi wa Ruvuma kwa bahati ambayo Rais Samia aliipa mkoa huo kwa kumchagua mmoja wa vijana wa mkoa huo kuwa msaidizi wake namba moja. Katika hatua nyingine, Ndugu Oddo Mwisho amemuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkt wa CCM ,Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa changamoto iliyotokea. Amesema yaliyofanywa na Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ni ya kwake binafsi na si ya wananchi wa Ruvuma, kwani wananchi wa Ruvuma wana imani na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye bado anawaamini vijana Mbalimbali walioko ndani ya Mkoa huo ambao wanafanya kazi vyema katika Chama na serikali.

Royal Media

18,832 görüntüleme • 2 ay önce