Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Samia kuna ujumbe wako hapa

35,351 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

6 Yorum

Kirahi profil fotoğrafı
Kirahi1 yıl önce

Hivi kuna mtu amekaa kabisa anapumua kwa furaha, anakwenda kunya na ana amani kabisa familia yake inaishi kwa furaha kwa mateso ya huyu kijana? Katika watu ambao naombea laana kwa hili taifa ni mimi, mpaka hawa watekaji na wanaowatuma WAFE.

Isaac profil fotoğrafı
Isaac1 yıl önce

Sijui hata nisemeje, machozi yamenifumba macho.😭 Mwenyenzi Mungu awe nawe popote ulipo Soka

A Man of Wisdom profil fotoğrafı
A Man of Wisdom1 yıl önce

Kijaña Jasiri saana, Thomas Sankara hakujua namna gani ataishi milele katika mioyo ya wenye vilio.

Kiptoben 🇰🇪 profil fotoğrafı
Kiptoben 🇰🇪1 yıl önce

What we thought as the hope of new women leadership at the helm of a country in the East African region turns out to be an autocratic and dictatorial regime. She is slowly outdoing Museveni. Samia kumbe hakuwa Suluhu dhabiti.

Moja Moja profil fotoğrafı
Moja Moja1 yıl önce

@SuluhuSamia @ikulumawasliano @tanpol

Edward Bussagwe profil fotoğrafı
Edward Bussagwe1 yıl önce

😭😭😭😭

Benzer Videolar