Skip navigation
Sema Kuna Hili Verse Wanangu🙌🔥
0:00 / 1:26

Sema Kuna Hili Verse Wanangu🙌🔥

Msukuma Timeless⏭️

@Blessdgroovekid5.2K followers

Visit on X
189 likesDownloadOriginal post

13,568 views

Sema Kuna Hili Verse Wanangu🙌🔥

21 Comments

Comments from the original post on X (Twitter)

  • mol49's profile picture

    @LusajoMwakabanj

    Sidhani kama kuna ngoma imekula repeat nyingi kama hii kwa August Alsina

    2 likes

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    Chuma Linagusa Maisha Yako Mpaka Unaanza Kufiri Alsina Amewahi Kuishi Bongo Nini🙌

    1 like

  • mol49's profile picture

    @LusajoMwakabanj

    Maisha yetu kabsa naikubali sana hii imefanya nimuheshimu Alsina pamoja na ujinga wake

  • Achuzyyy's profile picture

    @EliaIsAlive

    Timeless 🔥

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    🙌🙌🔥

  • BANZOKAH's profile picture

    @Juan_thirsty

    djkid nipe playlist cutting ya nyimbo angalau 15 kuanzia bpm ya 80 -100..niandikie tu majina

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    Genre Gani?

  • BANZOKAH's profile picture

    @Juan_thirsty

    lets say ndio umepewa nafas ya kuwa guest dj..genre mchanganyiko yan ile unapiga cutting dak 10 au 15

  • Witech Technology's profile picture

    @deniskawite

    Na ile imma,boss ya meek mill

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    Masterpiece🔥

  • MR.CHILD'𝕩 🎨🇹🇿's profile picture

    @Methodyrn_arts

    Ilikuwa noma🔥

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    Oyaaa 🔥

    1 like

  • ChuganSavage 🇹🇿 🇰🇪's profile picture

    @Ghost_Kiula

    DJ usiejua mziki😂😂😂

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    Umelipwa Kunichafua?😂🫵

  • MWAGITO's profile picture

    @hans_Broke

    Ni kweree Sana Benediction 🔥

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    Oyaaa Sio Poa 🙌

  • hasheem's profile picture

    @mo_fire_jr

    Rosseee hachekeshiiiii

  • Djkid_b_____'s profile picture

    @BlessdGrooveKid

    Alikuwa serious Sana 🙌

  • JESUS COUSIN📌's profile picture

    @PompiClicks

    Boss

  • LelooCarter's profile picture

    @LelooMassawe

    Imefanyaje