Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Sheikh Ponda kuhusu BAKWATA
151,177 Aufrufe โข vor 1 Jahr โขvia X (Twitter)
11 Kommentare

Nishasikiliza interview za watu kama wa4 wanamuongelea Sheikh Ponda. Wote wanamuita mzee wa misimamo. Kama mwanaume hili ni jambo thabiti esp hapa duniani

perfect beach vibes

Anaongea kwa utulivu sana. Nimesikiliza hii interview.

Sana asee

Bonus video

Sheikh Ponda ni mtu na nusu

Sheikh Ponda Issa Ponda,Maalim kanyoka sana hakika ni Mwanazuoni wa viwango ๐๐ฟ

Mbali na Dini,huyu dingi ni mpiga ngumi nasikia.

Ponda alipgwa risasi ikatokea upande wa 2 began mwamba alikuwa anavaa juba kwaajil ya usalama oyaa nimeisklza hii Interview

Nadhani BAKWATA kama jina na maana yake halina shida,msala ni namna wanavopatikana hao viongozi baadhi na mienendo yao juu ya maslahi ya UISLAMU.

Huyu yupo vizuri sana. Ila linapo kuja jambo la imani... Anakuwaga mjinga mjinga sana. Dini imemkaa. Alishindwa kabisa kuongea kuhusu bandari.
