Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Shekh Ponda Issa Ponda Nihawa Au Wengine?
12 Kommentare

MASHEIKH WALIOKAA GEREZANI MIAKA 9 wamehukumiwa kunyongwa leo. Utawala wa Magufuli uliwapa kesi ya Ugaidi. Utawala wa Samia sasa kuwanyonga. Walio hukumiwa ni Sh. Mohammed Hassan na Sh. Rajab Ali. Sh. Kurwa Othman ameachiwa huru. MASHEIKH wengine bado wanasota jela.

@SheikhPonda Huyu aliachiwa akawa mpole, akasema anaenda kuwa mfugaji! 🙌

@SheikhPonda Wazanzibar n wanaume sio kama watanganyika hawawez hata kuandamana

@SheikhPonda ilani ya CCM ya mwaka 2015 "inasema haita muonea haya wala huruma mtu yeyote atajae jaribu kutaka kuvunja Muungano"

@SheikhPonda Uuwamsho walishaachiwa

- All I Knew

@SheikhPonda hii ilikuwa hatar wazee😂😂😂😂

@SheikhPonda Sasa kama ni hawa we shekh usitusumbue kabsa kaa na ujinga wako pembeni, usitake kujifanya unaona kuliko serikali

@SheikhPonda Huyu kurwa aloachiwa huyu sio sheikh ni kipenyo, unakuaje sheikh halafu kurwa eti😂😂

@SheikhPonda Hawa waliachiwa na Samia

@SheikhPonda Hoja ni awamu ya kunyongwa! Kifo hakina mbadala

@SheikhPonda Watu kama ukiwa nao 200 tu , pale kisutu hamba askari anazuia geti
