Loading video...
Video Failed to Load
Sheria mpya ni kiini macho. #NoReformsNoElection
22,548 views • 1 year ago •via X (Twitter)
9 Comments

Genichiro1 year ago
Pia hiyo point ya mwisho hapo, hii ya kupita bila kupingwa ilikuwa inasababishwa na wao kukata majina ya wagombea wa upinzani kwa sababu zisizoeleweka, je kuna marekebisho yalifanyika kuzuia watu kukata majina kiholela?

Rwabudugu🇹🇿1 year ago
Mpaka useme we utatulia tu!

ozanee1 year ago
#NoReformsNoElection

Lesleigh Reisig1 year ago
No reform no election

Delotive Gee1 year ago
Naunga mkono harakati za chama

John Haruni1 year ago
#NoReformsNoElection #FreeTunduLissu

ninja1 year ago
Sasa unalalamika nini wakt uchaguzi cdm haipo au mnataka kurud kwa mlango wa nyuma kwa sasa imekula upande wako

charles malekela1 year ago
No reforms,No election

Billy Msalya1 year ago
🇹🇿🇹🇿🇹🇿NO REFORM NO ELECTION📦📦📦

