Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Show za NANGA😎
57,526 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

Watu wengi huwa hawaombi ushauri kwa lengo la kutafuta majibu ya maswali waliyonayo, bali huomba ushauri kwa lengo la kutafuta sababu halalishi zenye kuchochea nguvu ya maamuzi katika utashi wa nafsi, kwa majibu binafsi ambayo tayari wamekwisha yabumba katika akili zao. Basi utambuapo kuwa wengi hutafuta ushauri kwako kama means ya kutafuta wepesi wa kutenda kwa yale yote ambayo tayari wamekwisha yaamua, elewa wazi kwamba kama mwanadamu aliye timamu una wajibu wa kuwekeza umakini mkubwa kwenye maneno utatoayo kama sehemu msingi ya ushauri wako. Maximilian Ludovick anaomba kuwasilisha 🙏🏿✊🏿.

Comedian Number 1 kwasasa ambae anabisha abishe

🤣🤣 Nanga msenge sana. Yeye na wanae wale kina Kevoo, Jay wakusmarta, Anko Mussa, Shafii wanaua sana siku hizi. Kwanza comedy style yao ni daily life. Ko ni kama wanapiga story tu ila sasa huo usenge wanaoongea ndo unakuvunja mbavu 🤣🤣🤣

Nipo apeche Wang.

Combination ya nanga na shafii ndo inakuwaga kiboko 🙌🏼

Uyu nanga akutane na Txdullah😁😁

Ningempa 10 aende bar akawaze 😂

Amloge🙄🙄😆

😁😁
Похожие видео
Sensitive content
Za mocne 😎
Marcin Henka 🇵🇱💯 #BabiesLivesMatter
34,056 просмотров • 9 месяцев назад
