正在加载视频...
视频加载失败
Sikieni hiliii jamani
16,661 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Ni kweli anachosema kwenye dini ya ki Islam kuna mlango wa dharura sio kwenye ngurue tu vitu vingi kama kuna kitu unaweza ukala kikaokoa uhai wako ni ruksa kabisa kula kuliko ukajiacha ukafa.Mwenyezi mungu anatupenda zaidi

Nakula nashiba ndiii alafu nasema astakafilullah napangusa makalio naondoka 😢

Usishibe😅😅😅

Ndio ndio

Huyu jamaa anahubiri au anaongeaa story za vijiweni.

QURAN AL- BAQARA (2:173)

Kumbe ni kweliii

Hakuna sehemu nguruwe yupo af hakuna chakula nguruwe hakai sehem ambayo haina chakula msitufanye wajinga

Hata uongo ni haramu lakini kama kuna mazingira hatarishi unatakiwa ujihami, ndio maana tukasema dini ya Uislam kamili

Mjadala mgumu sana huu kama kuna mahali utajaribu kutumia hiyo kitu auwezi acha Ilo imnyama tam sana usiambiwe uongo ana minyoo mbona ndio nyama inaongoza kwa kuliwa zaidi duniani kwenye starehe
